Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu. Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Haruna Niyonzima “Fabrigas” moja ya mchezaji aliyekuwa ananivutia kwa aina ya uchezaji wake. Je akiwa Simba au Yanga Niyonzima yupi alikiwasha haswa? 1. Yanga 2. Simba Twende kazi______!
1 Reactions
13 Replies
704 Views
Nimeangalia kwa umakini gemu ya Simba na Horoya huku Simba akiibuka na ushindi wa mchongo wa goli 7 ndio nasema ni ushindi wa mchongo kwa sababu kama hizi. Magoli mengi ya Simba yalikua magoli ya...
12 Reactions
102 Replies
6K Views
Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia. 1) Kucheza robo fainali cc na cl 2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho)...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Refa asimamishwa kazi kwa kutumia simu ya shabaki kukataa goli Mwamuzi wa Misri Mohamed Farouk amesimamishwa kazi kwa kutumia simu ya mtazamaji kukataa bao katika mechi ya ligi. Al-Nasr...
1 Reactions
0 Replies
544 Views
Habari wakuu. Huwa ninasikia tu hii kilabu inasajili wachezaji, inashiriki michuano na ligi mbali mbali lakini mbona sijawahi kusikia imeshinda taji/kombe lolote? Ina maana wamekuwa washiriki na...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
"Habari brother!!!! Habari za leo Edo Kumwembe? Pole sana na majukumu mazito sana ya Uchambuzi hapo Wasafi!!!Pole na kazi nzuri sana ambazo umekuwa ukizifanya kwa nyakati tofauti tofauti zinazowa...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Tukiitwa mipang'ang'a mbumbumbu ndunduka ngada fc tusiwe wakali kwa haya yanayoendelea. Sasa hivi tunaparamia kila tawi ila yote yanateleza. Tumetoka kwa fei toto tumehamia kwa master K ilimradi...
6 Reactions
18 Replies
911 Views
Karibuni hapa tuone jezi mbalimbali kwa timu tofauti tofauti kwa msimu ujao wa soka 23/24, kama mjuavyo msimu wa 22/23 unakaribia kuisha. Zifuatazo ni baadhi ya Jezi/Uzi za Club mbalimbali...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Horoya AC ya Guinea walichapika haswa juzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa pale Temeke. Walipigika hasa. Unapoona kiungo wa chini, Sadio Kanoute akiondoka uwanjani na mabao mawili ujue wapinzani...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kikosi hicho hapo . Simba wa 4. Kapombe Kanuti ,chama Baleke Sio bure hii Caf ni Simba watupu
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns...
26 Reactions
84 Replies
6K Views
Kikosi cha simba kinazidi kupepea na kuitangaza Tanzania vizuri kimatafita ukiachana na kuwa vijana wengi pesa kwenye game yao dhidi ya horoya maana najua wengi waliweka Simba “Win”. Sasa...
5 Reactions
14 Replies
890 Views
Kuna huu upuuzi ambao umeibuka hivi sasa hapa Bongo. Nadhani umeanzhishwa ili kufanya watu wajione wamefanikiwa. Binafsi ninaishikuru klabu yangu, Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu kwa kuuona...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Leo kuna mpambano wa wanawake wa Boxing. Ilipangwa wapigane siku ya wanawake duniani ipa imebidi wapigane leo. Kaa tayari kupata mtanange. Tune Azam Pambano la kwanza, Sophia Hamis Vs Warda...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Bondia Mtanzania Stumai Muki amefanikiwa kushinda dhidi ya Chimwemwe Banda raia wa #Malawi kwa pointi katika pambano la Raundi 8 uzito wa kati Super Fly jijini Dar es Salaam. Mara baada ya...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa. Kupiga kura ni rahisi...
11 Reactions
63 Replies
4K Views
Kwa Uganda Taifa langu la Pili Kiuraia (kutokana na Kunilea na Kuishi huko Kimasomo) na ninavyojua Uwekezaji wao katika Michezo na Seriousness yao hata Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom