Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mzamiru hana ball control kumzidi Aziz Andambwile. Kelvin john hana skills kumzidi clement msize labda kilichomfanya aitwe timu ya taifa ni vile ligi ya ubelgiji wanachezea mpira wa chuma. Job...
3 Reactions
7 Replies
665 Views
Japo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya. Huyu Samatta ameshapitwa na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Anaandika KENGE, Mamlaka ya kutunga sheria za mpira wa miguu IFAB imetunga sheria mpya baada ya maboresho na malalamiko kwa wachezaji kwa baadhi magoli kipa kuwavuruga kisaikolojia kabla ya...
5 Reactions
32 Replies
6K Views
Uzi huu ni mahususi kwa waganda wenzangu waliopo humu jamii forum na pia kwa mashabiki na watu wote wenye mapenzi mema na Uganda. Kesho tunacheza na kibonde wetu Tanzania( Taifa stars) huko...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Imeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda. Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia, "Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwenye hili suala la usajili wa wachezaji, Simba wameingia mtego wa kifikra na kihisia ambao itakuwa vigumu sana kutoka. Hakuna timu duniani ambayo wachezaji wote 20+ wa kikosi wana viwango sawa...
2 Reactions
5 Replies
921 Views
Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili . Uongozi wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma alikuwa mgeni rasmi katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Ramadhan Cup 2023, tarehe 27 Machi, 2023. Kwenye mchezo wa ufunguzi...
2 Reactions
2 Replies
857 Views
Kachukua Kombe la Ligi, Ngao mara mbili na FA, si mwingine ni yule yule mwamba kutoka Tunisia hakika huyu ni kocha wa mpira hapa Yanga wamelamba dume. Ipo hivi mpira wetu wa bongo, wachezaji...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele? Mchezaji wenu wa kawaida sana...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Tutaje fist eleven ya EPL... 1. Alison 2. Tripier 3. Silva 4. Botman 5. Dias. 6. Caicedo 7. Salah 8. Debrune 9. Halland 10. Kane 11. Ivan Toney... Ukiweza weka na mfumo kama ni 44 2 au 433..nk.
2 Reactions
54 Replies
2K Views
Kilichomtokea Fiston Mayele jana sio kigeni kwenye ulimwengu wa soka hasa ukiwa mchezaji no 9 asilia. Siku hazifanani na jana siku nzuri iligoma kuwa upande wa Fiston. Wakati Congo wanaongoza...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Ukimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kocha Antonio Conte ameachana na klabu ya Tottenham akisema ni kwa makubaliano na pande zote mbili ambazo zimefikia haki. Hata hivyo, ni wazi kuwa mdomo ndio uliomkumba Conte klabuni hapo kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni kweli Chama amewaka kiasi na kulikuwa na ugomvi na kocha wake huko nyuma, sasa swali ni je, ni nani amenyanyua mkono na kufata mfumo wa mwenzake?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya siku kadhaa za presha na tetesi hatimaye pande mbili baina ya klabu na kocha huyo zimeafikiana kuvunja mkataba na sasa timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda ambaye ni Cristian...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…