Kwa mujibu wa chanzo, Shirikisho la soka duniani FIFA limeitaka klabu ya Yanga inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara kujieleza juu ya tuhuma za kushiriki Siasa kwa kukichangia pesa za uchaguzi...
Ndugu Wachezaji, Mashabiki na Wanaharakati wa Amani,
Tanzania yetu imetoka katika kipindi kigumu cha kisiasa, kipindi ambacho baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zetu wamepoteza maisha mikononi...
Nikiwa Rais wa Tanzania ntatengeneza mazingira ili mpira wa miguu uwe unachangia kodi ya sh Trillion 1, ntahakikisha mtoto aliyezaliwa uganda, kenya, Rwanda, Dr Congo, Zambia, n.k anakua na ndoto...
28 October 2025
Addis Ababa
Ethiopia 0 - 1 Tanzania
Tanzania yafaulu mtihani wa kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026. Twiga Stars imeweza kuingia...
Wadau wa Mpira wa Afrika Mashariki, wamewataka Kenya na Uganda kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu.
Wajifinze mbinu za Tanzania wameweza Timu zao zote Nne zikafaulu?
Hongera TFF kwa ubora...
Huu uzi utunzwe.
Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.
Na hana mafanikio yoyote kimpira.
Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio.
Hatoboi...
30 Oktoba 2025
Jiji la New York City
USA
Majina makubwa ya wakimbiaji mbio za marathon kyshiriki mbio hizo jumapili tarehe 4 November 2025 saa mbili asubuhi
Mwamba huyo kutoka Tanzania mbali ya...
Leo katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa KMC Complex majira ya saa 10:00 jioni.
Mara ya mwisho timu hizi...
Wakuu I salute you kinsmen
Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full
Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa...
Wasaalam
Juzi siku ya mechi ya Yanga nikiwa mitaa ya mandela road kuelekea ubungo nilikutana na makund ya vijana yakitembea kwa mguu kutoka taifa had ubungo mbele mbele vifua waz jasho la...
Kwa niaba ya mashabiki wa Simba naomba radhi Kwa dhambi ya kulinganisha Pacome mchezaji wa World Cup akiwa na timu kubwa Cote D'Ivoire na magharasa yetu ya Mpanzu na Ahoua
Leo tumewaona Mpanzu...
Kupitia ukurasa wa Mtandao wa Instagram ya timu ya Simba sports club wameandika kumshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa kitita cha Millioni 15 kama...
Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa
Sisi tuliocheza mpira na baadae tukapata course za coaching tunajua hata striker kukosa nafasi ya kukosa goal ni mzuri...
I salute you kinsmen
Wakuu
Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49).
Pira Ureno linakuja...