Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu, Beki kisiki Josh Onyango amekuwa ni mhimili wa ulinzi Simba lakini amekuwa akifanya makosa yanayofanana mara nyingi. Josh akiachwa kwenye kasi akili yake ni kucheza rafu bila kuangalia...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya anguko la klabu za Enyimba, Enugu Rangers na Heartland klabu bora za Nigeria, Ndipo zilipoibuka klabu za Kano Pillars, Plateau United na Rivers United. Ni timu za kiazi kipya kwenye...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mohamed Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), Veron Mosengo-Omba...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Baada ya draw ya Kombe la Shirikisho Afrika na Yanga kupangwa na Rivers United ya Nigeria, mashabiki wa Yanga wameonekana wenye matumaini makubwa ya kufuzu Nusu Fainali kwa kuona Rivers pengine ni...
2 Reactions
6 Replies
882 Views
Ikitokea kweli Fiston Mayele kwenda al hilal ya soudan na fikiri siku hiyo mashabiki wa al hilal watajaa airport kumpokea huyu mwamba sio kwa mapenzi haya kwa fiston Mwisho kabisa ibenge kajua...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara...
21 Reactions
68 Replies
5K Views
Salaam, Nimeona taarifa mtandaoni kwamba timu inayoshika mkia kwenye ligi kuu ya soka Afrika Kusini, Marumo Gallants, ndio vinara wa kundi lake kwenye CAFCC nikachoka kabisa. Hapa sitaki kusikia...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Hapa wahenga mnasemaje?
4 Reactions
8 Replies
839 Views
YANGA SC IMETUFUNDISHA MAHESABU KILA HATUA KIMATAIFA. Klabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na...
7 Reactions
76 Replies
3K Views
Alianza mwanasheria msomi,tunaambiwa ni majeruhi,akaja mzanzibari tukaambiwa mkorofi,sasa ni kiungo aliyeshindanishwa na mwamba wa Lusaka,wanajidai wako kimyaaa!Na za ndaani kabisa anafuta...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa wajuvi wa mambo na wale waliosoma Cuba, Je, ukitazama kwa makini picha hii unapata tafsiri gani?
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Klabu yenu pendwa ya Simba imepangwa na bingwa mtetezi wa Caf CL, Waidad Casablanca, kwenye robo fainal ya Caf CL. Kwa wale wasioifahamu vizuri Waidad AC, nawaomba mje kwa Mkapa hapo tarehe...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika vitu vya kipuuzi kushuhudia pale Anfield ni usajili wa Melo Kutoka Juventus kuja Liverpool ili aokoe jahazi Lakini matokeo yake hajacheza mechi hata moja Kama sijakosea na mwezi July...
0 Reactions
1 Replies
560 Views
Huyu jamaa Almaaruf hapa Bongo Ustadh ni hatari sana, ni zaidi ya IS, amekua akiwapa watu maumivu sana. Wengine wanasema anatumia Mkongo! Ni hatari kwa vidudu vyote vinavyorika na vinavyotambaa...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
UPDATES 00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu. 03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika...
13 Reactions
607 Replies
49K Views
Kiungo mahiri wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Mudathir Yahaya leo ameibuka kinara kwa goli lake alilofunga dhidi ya Tp Mazembe kuchaguliwa kuwa bao Bora la mashindano ya Caf hatua ya makundi.
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Hakuna asiyekujua kuwa Wewe ni Yanga SC 100% na hivi sasa unatumika na Watu wa Yanga SC yako ya Moyoni ( japo upo Azam FC na Azam Media ) kama sehemu yako ya kujipatia Ugali wako wa 24/7...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali. Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Huyu kocha Graham Potter aliyefukuzwa majuzi amekuwa millionaire ghafla. Tangu Chelsea inunuliwe kutoka kwa billionare Roman Abrahamovich chini ya mwaka imeshafukuza makocha watatu Frank Lampard...
2 Reactions
8 Replies
986 Views
Back
Top Bottom