Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Najua nitabezwa lakini ukweli huu mwaka Africa itasimama na kushangaa kwa jinsi timu mbili kongwe zitakavyo tinga Nusu Fainali japo kuingia fainali sina la kusema. Timu zote mbili zilibezwa na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9. Cha ajabu...
9 Reactions
56 Replies
5K Views
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions. Hii ina maana gani wakuu...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani? ======= Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti...
1 Reactions
222 Replies
23K Views
MABAO MENGI ZAIDI KUFUNGWA kwenye msimu mmoja wa #CAFCL [emoji1241]Young Africans - 19 [emoji1174] Costa do Sol - 17 [emoji1052] Galaxy - 17 [emoji1269] CAPS Utd - 16 [emoji1062] Coton Sport -...
1 Reactions
8 Replies
862 Views
Habari za kufurahisha moyo kwa mashabiki wa Yanga! Klabu hiyo imemtuma tena Ofisa Mtendaji wao Mkuu, Andre Mtine, kwenda kufuatilia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza iko mbioni kumrejesha klabuni hapo mchezaji na kocha wake wa zamani kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu Kwa mujibu wa Fabrizio Romano klabu hiyo...
0 Reactions
4 Replies
468 Views
Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hizi timu ni za watanzania wote Mwanasimba ni mtanzania na mwanayanga ni mtanzania pia Utimu usituvuruge Sasa hivi nini jamani!? Hata kama huipendi timu pinzani ndo ufanye hivi kweli!? Let...
-1 Reactions
3 Replies
405 Views
Kuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali. Asikuambie mtu! Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke. SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo CAF wametoa orodha ya wachezaji wanne wanaowania tuzo ya goli bora hatua ya makundi CAFCC, Hadi kufikia sasa Mudathiri Yahya wa Young Africans anaongoza kwa kura na kura hizo zinachukua masaa...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
MAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji119][emoji119][emoji119] MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA SC WAUNGANA NA MASHABIKI WA YANGA KUPIGIA KURA @mudathir_yahya27 Goli lake dhidi ya TP Mazembe liweze kishinda...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Shime watanzania, tuzo ije kwetu hii. Jinsi ya kumpigia kura. Ingia twitter kwenye page ya CAF au pitia link hii kisha bonyeza neno Mudathir Yahya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni: 1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore 2)Rivers United-Nigeria 3)Marumo Gallants-South Africa 4)Young Africans-Tanzania 5)AS Far Club-Morocco...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wakuu Jana asubuhi niliangalia kipindi cha Viwanjani kinachorushwa kwenye chaneli ya Azam sports 1HD na binafsi nimesikitishwa sana kwa niliyo yaona. Sijui kama nitakuwa sahihi nikisema...
19 Reactions
84 Replies
5K Views
Mambo yanazidi kua matamu huku asfc,kinachosubiriwa ni mechi za ijumaa na jumamosi. Nb-endapo makolo yatapita basi tutawaomba sana azam watuachie my wetu,na nyie madunduka mjiakaze msitolewe...
3 Reactions
7 Replies
833 Views
Uwezekano wa klabu ya Simba kukutana na moja ya timu zifuatazo yaani Mamelodi Sundowns, Wydad AC, na Esperance ni sawa Tu na mfungwa aliyehukumiwa kifo yaani Death row inmate ambae anasubiri...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom