Tarehe 21-04-2023: Simba watabatizwa kwa moto

wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
2,048
2,442
Klabu yenu pendwa ya Simba imepangwa na bingwa mtetezi wa Caf CL, Waidad Casablanca, kwenye robo fainal ya Caf CL.

Kwa wale wasioifahamu vizuri Waidad AC, nawaomba mje kwa Mkapa hapo tarehe 21/04/2023, ili mshuhudie klabu yenu pendwa ikibatizwa kwa moto.

Kile kipigo cha tatu, tatu mlichoshushiwa na Raja Casablanca ni cha mtoto. Siku hiyo ni mwendo wa kumi, kumi. Au niandike kwa kiarabu?
 
Wydad is Pronounced (as) Waidad. Au huko simba ngada imewaharibu akili?
WE MATACLE KWELI sijakuliza inatamkwaje niekuuliza waidadi ndio nini kwa huo utahira ipo siku utatuandikia livapul,aseno, cheisii kwa kuwa ndivyo zinavyotamkwa au sio?

NB: KUNA UHUSIANO GANI KATI YA KUSHABIKIA YANGA NA KUWA TAHIRA?.
 
Muwe na Akili.

HUWEZI ukawa mkubwa kwa KUCHEZA na YANGA

Ili UWE mkubwa sharti ucheze na WAKUBWA zaidi yako.
 
Back
Top Bottom