Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mtu mmoja aliwahi kusema huwezi kuwa Shujaa kama sio mhuni, Huenda usinielewe yaani kua mhuni ndo kua Shujaa? sizungumzii uhuni kama ule wanaofanya wapiga ngeta mitaa ya chanika na keko. Hapa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumekuwa na ibuko la Threads nyingi zikiongelea Arsenal na kuiombea mabaya kutokana na mwendelezo wake katika ligi kuu ya England (EPL). Mashabiki wengi wa Team pinzani kama vile Man u, Chelsea...
12 Reactions
11 Replies
3K Views
Karibu kwenye uchambuzi huu, utakuwa nami Heparin , dawa kiboko ya damu inayoganda mwilini. Twende pamoja kutoka uwanja wa Chamazi, Mbagala. Kikosi cha Simba SC Kikosi cha Ihefu SC Dk 1’...
12 Reactions
217 Replies
13K Views
Kuna tetesi mjini kwamba simba wametuma barua TFF ili game yao na Yanga isogezwe mbele zaidi. Haijajulikana sababu za kutaka game isogezwe mbele ni nini ila wajuvi wa mambo mjini wanasema ni...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, kwanza nianze kusema mie ni Mkristu Mkatoliki wa Roma na jana ilikuwa Ijumaa Kuu. Samahani kwa utangulizi huu kwani jana palikuwa na mechi ya ligi yetu saa kumi jioni wakati Wakristu...
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Anayefuata anajielewa, aanze tu kutia maji asije kunyolewa kavu kavu, ohoooo!!!!
2 Reactions
11 Replies
1K Views
NUSU FAINALI ASFC [emoji471] ⌾ AZAM FC [emoji739] SIMBA SC ⌾ SINGIDA BS [emoji739] YANGA/GEITA
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kipunje: Mwamuzi anayechezesha mechi akiwa na panga, shoka Dar Refa Kipunje akiwa kazini Summary Pia hata mechi ngumu za Ligi Kuu England au Ligi ya Mabingwa Ulaya amekuwa akipangwa kuchezesha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
KOCHA msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amefichua jambo akisema amezungumza na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' aliyeikaushia kambi ya Yanga akimtaka arejee klabuni...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Ligi yetu tunaambiwa inakuwa kwa kasi lakini aisee nikiangalia mechi ambayo haipigwi Azam complex huwa sioni mvuto wowote.. Tuwekeze kwenye viwanja aisee...Kwa Mkapa hadi leo hamna hata tv...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mchezaji mwenye kipaji cha kukimbia na kuweka mpira wavuni amewavua nguo PSG. Klabu ya PSG ikiwa kwenye kampeni za maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2023/2024 ilimtumia Mbape kutangaza vitu...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu katika vijiwe vya kahawa vijiwe nongwa pamoja na vijiwe vya vya kidigital vinavyotaka timu ishinde tu hata Kama haina uwezi lakini mashabiki hawalijui Hilo. Nimepatwa na...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa haraka haraka huwa nasikia hizi timu mbili ndio kama Real Madrid na Barcelona za huko Morocco, Kwa wale mnaofuatilia soka na kubahatika kuweza kujua ubora wa hizi timu tunaombeni mtumegee...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu Salam zenu Baada ya droo kupangwa na Kila timu kumjua mpinzani wake kumetokea kitu ambacho hakikutalajiwa hapa bongo especially Kwa dunduka fans Mitaa yote kimya, zile mbwembwe za...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Mchezo wetu wa derby tarehe 16 dhidi ya Yanga japo uwezo wake ni mdogo ,lakini tutautumia kama mazoezi yetu kuelekea kwenye robo fainali dhidi ya Wydad"-AHMED AL
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nipo natizama hapa mechi Yao na Singida yani wanachofanya utadhani wachezaji wa dondo cup. Hawana ubunifu Wala kasi hasa eneo la mbele.
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye kora online. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas. Na jana nilicheki replay ya game...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Shukrani ziende kwa kocha wa Barcelona Kijana Xavi kwa kufukia kwa haraka pengo liliokuwepo Barcelona na real madrid leo wanacheza mchezo wa nusu fainali copa del rey Timu zimekutana mara 252...
1 Reactions
4 Replies
552 Views
Back
Top Bottom