Mbape aichanachana PSG, asema sio klabu ya mama yake wasimzoee hata kidogo

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,994
8,370
Mchezaji mwenye kipaji cha kukimbia na kuweka mpira wavuni amewavua nguo PSG.

Klabu ya PSG ikiwa kwenye kampeni za maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2023/2024 ilimtumia Mbape kutangaza vitu mbalimbali ikiwemo tikiti za msimu mpya. Muda kidogo dogo Mbape alilipuka kupitia mitandao ya kijamii;

"PSG ni klabu kubwa, PSG ni familia lakini PSG sio klabu ya mama wa Mbape, mnikome."

Haya ndio madhara ya mchezaji kuwa mkubwa kuliko timu. Ikumbukwe Waarabu walimpigia magoti huyu kijana ili asiondoke PSG wampe nafasi kama sehemu ya uongozi wa bodi ya utendaji wa PSG na mshahara wa mamilon ya dollars kwa wiki.

Ikumbukwe wachezaji wengi hawakuprndezwa na hili, pia wachezaji wengi hawakuprndezwa na Mbape kupewa unahohodha wa timu. Baada ya mbape kuwabwatukia Waarabu walifuta mara moja makala hizo

Ikumbukwe wachezaji maarfu kama Emmanuel Petit na Thiery Henry walinukuliwa wakisema PSG sio klabu ya mpira ni klabu ya wachezaji kula penshen.

Kiu ya Mbape ni kushinda UEFA Champions League ndio aondoke Madrid.

ME
 
Anajua anawamudu,toka nianze kufuatilia mpira sijawahi kusikia mchezaji anaingizwa kwenye bodi ya utendaji wa timu

Hapo ni automatic unaiua dressing room

Wachezaji wanajua wakipambana wanampambania mbape
Huyo kijana akiendelea kubaki hapo hata shinda chochote.

Aende real Madrid huko. Akakue akili he is still a boy not a man.

Unadhan Madrid wangekubali kujibiwa hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajua anawamudu,toka nianze kufuatilia mpira sijawahi kusikia mchezaji anaingizwa kwenye bodi ya utendaji wa timu

Hapo ni automatic unaiua dressing room

Wachezaji wanajua wakipambana wanampambania mbape
Na ndo mana msimu huu wamekuwa vibonde wamekandwa na Marseille, Monaco na Lyon
 
Neymar ana kombe lolote la @uefa?
sio kombe tu ana adi golden boot ya ucl
1306576920.jpg
 
Back
Top Bottom