El classico:Leo ni mechi ya 252

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,388
Shukrani ziende kwa kocha wa Barcelona Kijana Xavi kwa kufukia kwa haraka pengo liliokuwepo

Barcelona na real madrid leo wanacheza mchezo wa nusu fainali copa del rey

Timu zimekutana mara 252

Barcelona ushindi mechi 100
Real madrid ushindi mechi 101
Sare mechi 51

Xavi amemfunga real madrid mara nne mfululizo na kuna uwezekano leo akamchapa na kupeleka ushindi 101 kila timu

Todo lo mejor Barca
 
Ndio mshachapwa hivyo.
 
Back
Top Bottom