Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Natoa nafasi ya pekee kwa Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli, nadhani mmeijua Simba ni watu wa namna gani. Nimepata taarifa hapa kwamba Haji Manara amekamatwa akicheka chooni. Simba nawapongeza...
2 Reactions
0 Replies
695 Views
JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Africa, CAF,linaanzisha uchunguzu juu ya tuhuma za kuzimwa VAR kwenye match ya Simba vs Orlando Pirates iliyochezwa 17 April 2022. Match hiyo ilimalizika kwa Simba kushinda goal...
10 Reactions
75 Replies
7K Views
Mechi 10 zilizopita baina ya Simba dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara tangu Msimu wa 2017/18, kila timu imeshinda mechi 2 huku sare zikiwa ni 6. 29/04/2018: Simba 1-0 Yanga 30/09/2018: Simba...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani. Je TFF hawajaliona hili? wachezaji...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Angalia walivyopost matokeo ya mchezo baina ya Yanga na TP Mazembe kule Lubumbashi wiki chache zilizopita kama siyo ubabaishaji huo. Miafrika ndivyo tulivyo.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mchungaji Matsai wa KKKT Kimara amesema Yanga Wananchi ni Timu inayoishiaga hapa hapa nyumbani lakini Simba ni ya kimataifa kwa sababu ni Timu ya Washindi Akiwa kwenye mahubiri Kanisani leo...
6 Reactions
9 Replies
798 Views
Wananchi acheni nongwa[emoji38][emoji38] By the way kuna hii nyingine ya yahya mbegu, huu ni usajili bora sana wa ndani, kama ni kweli.
3 Reactions
4 Replies
838 Views
Yanga inabidi wawe makini na chama na baleke ni wachezaji waliokuwa kwenye form nzuri hivi Sasa na ni HATARI. Simba inabidi wawe makini na wachezaji wote wa yanga na kocha Nabi. hivi Sasa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kinara wa mabao kwenve kikosi cha Yanga na Ligi Kuu Tanzania Bara, Fiston Mayele mwenye mabao 16 hadi sasa, ameifikia rekodi yake ya msimu uliopita na sasa anasaka kuivunja. Baada ya kukosa tuzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tulizusha kuhusu job nalo time timeangukia pua. Nani atatuamini tena. Mo atuachie timu siasa za mpira hazina nafasi
4 Reactions
6 Replies
881 Views
Baleke yuko pale Simba KWA mkataba wa muda mrefu pale Simba. Poleni Sana ambao habari hii si habari njema kwenu. Fuatilia klipu hapa chini.
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Mwanzoni mwa mwaka 2017 katika shule ya soka ya Ajax kulikuwa na kipaji maridhawa ambacho mtendaji mkuu wa Ajax ndugu Edwin Van Der Sar alikuwa ana uhakika baada ya miaka miwili mitatu watapata...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo kuelekea derby ya simba na yanga, wazee wenzangu tukumbushane matukio ya uwanja wa taifa kipindi hicho cha 90's. Nakumbuka miaka ile pesa ilikuwa ngumu kweli kweli na mapenzi ya kutazama...
0 Reactions
4 Replies
726 Views
Huyu jamaa mshenzih sana.... Kwenye video hapa tunaona wakati mayele kainamishwa yeye anaenda kumtia kidole. Tunaona jinsi ambavyo Mayele anaruka na apotizama kumwona BM anatulia Huyu BM...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mlinzi wa kati mwenye uwezo wa kukaba hadi upepo Dickson Job amesinya mkataba wa miaka miwili kuendelea kutwanga/kucheza Yanga,ni suala la muda kwa Yanga kutangaza taarifa zake, bwana mdogo bado...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Jonesia Rukya kuamua mechi ya watani wa jadi kesho
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Mwamuzi wa kati Jonesia Rukya kutoka Kagera, ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi Simba vs Yanga itakayopigwa kesho Jumapili Aprili 16 katika dimba la Mkapa. Wasaidizi wake watakuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…