Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,834
- 38,717
Shirikisho la Soka Africa, CAF,linaanzisha uchunguzu juu ya tuhuma za kuzimwa VAR kwenye match ya Simba vs Orlando Pirates iliyochezwa 17 April 2022. Match hiyo ilimalizika kwa Simba kushinda goal 1 kwa bila.
Kuzimwa kwa VAR katika robo fainali ya kwanza kati ya Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini Aprili 17, 2022 ambapo Simba ilishinda moja bila kwa penati ilisababisha utata mkubwa.
Kocha wa Orando Pirates, Mandla Ncikazi alizungumza mapungufu na makosa yaliyojitokeza kwenye mechi hiyo na kutaja kitu kilicho mkasirisha ni kitendo cha mwamuzi wa mchezo huo kukataa kwenda kuangalia VRA ili athibitishe kama ni penati au sio paneti na kusema kuwa VAR waliizima.
Kutokana na tukio ilo wadau wengi wa soka walilitaka Shirikisho la Soka la Afrika(CAF) kufanya uchunguzi wa tukio la kuzimwa kwa VAR lakini CAF hawakutoa tamko lolote la kufanya uchunguzi wa tukio hilo na hakuna taarifa yoyote waliotoa CAF kuhusu tukio la kuzimwa VAR.