Mpira ni starehe ukifungwa kibali Maisha yaendelee.
Tusifanye mpira kuwa vita au imani za ki biblia au Quran.
Waliogundua mpira waligundua ili ajira ziongezeke.
Hawa wachezaji Wana Maisha baada...
Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC...
PARIS, UFARANSA.
Hivi karibuni stori kubwa ni kumhusu mchezaji wa kimataifa wa Morocco anayeichezea PSG, Achraf Hakim ambaye ameandikisha mali zake zote chini ya jina la mama yake, hivyo mkewe...
Kwa matokeo ya leo 2-0 dhidi ya Yanga, hakuna shaka tena kuwa hawadaiwi na mashaabiki wao, iwe wakipoteza dhidi ya Wydad na hata wasipochukuwa kombe la NBC au la Azam Confederation.
Kazi...
Mayele ni mchezaji mzuri hasa kwa jitihada zake za kujituma awapo uwanjani. Ila kwa mtazamo wangu licha ya mazuri yake kwa upande mwingine amekuwa akiighalimu sana timu kutokana na uchoyo...
Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali...
[emoji599] Bayern have suspended Sadio Mané after his fight with Leroy Sané after Man City game when he punched Sané in his face after having an argument during the match.
Bayern announce that...
MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi...
1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao.
2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika.
3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale...
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea...
1. Maji ya Mochwari (hasa yatokee Temeke Hospital au Amana) tu
2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni
3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au...
Naweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season.
Wasiwasi wangu muwakilishi wa NNE itakuwa timu gani?
Kwa haraka ukipiga...
Kumekua na makelele ya fijo pamoja na ndelemo za kuimba nakumsifu Jean baleke, Kama hufatilii mpira unaweza kudhani baleke kafunga magoli miambili la hasha Bali kaonyesha uwezo kidogo hata robo ya...
Kwa nguvu na kasi yake, tutegemee majanga upande wa Djuma Shaban. Possibility ya penati ni kubwa sana. Pia ni msaada kwenye kukaba.
Nadhani ni chaguo sahihi kwa upande wao
Kuna nyuzi kama mbili hivi nisha wahi kuzileta humu na zote nilisisitiza kuwa simba yaweza kuwa mbovu kwa kiasi fulani lakini sio mbovu kama wachambuzi uchwara wanavyo tuaminisha, ukiendea kichwa...
Sasa kwa akili yenu Yanga mlitegemea mshinde game hii kwa kigezo cha kuongoza kile kigroup chenu cha wakongwe kina Mukoko Tonombe?
Hii ndo maana kwamba Simba, Wanalunyas, Taifa kubwa, Mwana...
Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa.
Ni ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.