Katika podcasts na Fatma Dewji. Jamaa kafunguka how alibreak generational curse. Your background does not define you.
🗣️"Kiukweli ukitokea Kalksteenfontein, ni eneo ambalo sio rahisi kwa ukuaji...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka wadau na jamii kuelekeza nguvu zao kwenye mijadala ya kujenga badala ya kushambulia personalities za viongozi, akisisitiza...
Kutokana na Press ya Makonda kuna vitu kavigusia na sasa nimemuelewa!,Kumbe watengeneza Jersy hawakutaka kusubiri kwa maana walishatengeneza jersy kindi kirefu kabla ya vikao na serikali maana...
Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake Tanzania 'Twiga Stars' kinatarajiwa kuingia kambini kuanzia Oktoba Mosi, 2026, kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu kwa Michezo ya Olimpiki...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ameeleza kuwa kulingana na Ibara ya 5(2) na Ibara ya 3(2) ya mkataba kati ya TFF na Sandaland, pande hizo mbili zilitakiwa kufanya...
"Serikali inayo fursa ya kutoa maoni juu ya uboreshwaji wa jezi pasipo kuwa na ulazima wa kuingilia mkataba."- Damas Ndumbaro, Mbunge wa Songea Mjini ambae alikuwa Waziri wa Michezo.
Anasema...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Christian Makonda (Mb), ametangaza kutotambua matangazo ya jezi mpya za Timu za Taifa.
Hatua hii imekuja baada ya mchakato wa kubadilisha...
Timu za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi zimeanza kwa kishindo katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa ushindi katika michezo mitatu...
KILIMANJARO
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Ardhi, Nyunba na Maendeleo ya Makazi (Ardhi Fc) imeanza vyema Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) baada...
Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu..
Kwakweli...
Ni masaa 24 sasa tangu nimetoa hela kupitia mtandao wa YAS cha ajabu hiyo hela haijafika mpaka sasa ukipiga simu wanajichanganya tu.
Wanakiri kulikua na shida upande wa mifumo yao.. baadae...
1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni.
2. Viongozi wanaoanzisha choko choko na kuleta...
Msemaji wa Timu za Taifa Haji Manara amesema wasemaji wasipewe lawama mashabiki kutokuja uwanjani na hata kipindi yeye akiwa msemaji alikuwa anapata shida mpaka anaroga ili tu mashabiki wajae.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na matumizi ya nembo yake kwenye mkutano na waandishi ulioandaliwa na kampuni ya Sandaland Fashion Wear.
Tunapenda kusisitiza kuwa TFF...
Uchambuzi wa kina wa soka la Bongo uliotolewa na wachambuzi wa michezo, Hans Raphael na Juma kupitia kipindi cha Crown Plus, umeweka wazi mwenendo wa klabu za Simba SC na Young Africans (Yanga)...
Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku, amesema mkataba kati ya kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unapaswa...
Sitaki kuwachosha ila kuna maamuzi yalufanywa na watu wanaoongoza mpira ambao elimu zao ya chinibni degree.
1. Kwamba mchezaji wa nje atakayesajiliwa na timu zetu,awe anacheza timu ya taifa ya...