Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jioni ya leo majira ya saa 1 na dk 15 Coastal Union watakuwa uwanja wa Jamhuri Dodoma wakiwakaribisha Yanga SC.
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu, Marafiki wa Simba ( Friends of Simba,) ndio wanaoimaliza Simba. Mfahamu hatutofanikiwa bila kuachana na hili kundi lote. Utulivu Yanga ni sababu timu kapewa GSM na hakuna anayeingilia hata...
1 Reactions
6 Replies
415 Views
Matokeo yanasomeka kama hivi 👇
0 Reactions
2 Replies
183 Views
Mshambuliaji Mohamed Salah hatimaye amesaini mkataba mpya kuendelea kubaki Liverpool kwa mshahara wa Pauni 350,000 kwa wiki baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la Mkataba wake ambao...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba na Meneja Mkuu Dimitar Pantev pamoja na Wasaidizi wake wawili. Kwa sasa kikosi kitabaki chini ya Kocha...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Tupashane msimamo wa kila wiki kwenye mashindano haya japo inaonekana kuwa waarabu wanayatawala sana CAF Champions League CAF Confederation Cup
2 Reactions
7 Replies
726 Views
jina kamili: Associazione Calcio Milan. a.k.a: Rossoneli ''red & black'', Diavolo ''the Devil''. Kuanzishwa: 16/dec/1899. Uwanja: Sansiro Meazza. Uwezo: unabeba watu 80,074... President: Paolo...
23 Reactions
10K Replies
571K Views
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman...
3 Reactions
6 Replies
699 Views
  • Closed
Haya hawa wapa leo nawatakieni tena.... 1. Msemaji Ahmed Ali 2. Mwenyekiti Murtaza Mangungu 3. Kocha Suleiman Matola 4. Meneja Patrick Rweymamu 5. Mkuu wa Itifaki Makoye 6. Aliyekuwa Mwenyekiti...
5 Reactions
4 Replies
672 Views
Washabiki hawamtaki Matola tokea Zamani mno. Kila kocha hufukuzwa na kubaki yaye tu ana nini. Kocha wa timu kubwa sio kazi ya kilamtu. Shabiki gani atalipia kiingilio kwenda kumuangalia matola...
3 Reactions
12 Replies
573 Views
Fukuza Mo Dewji Fukuza Mangungu Tuachane na Machawa Nimemaliza.
1 Reactions
4 Replies
337 Views
Najua Tajiri, Magori na 90% ya Friends of Simba ni wana wako (Marafiki zako) na ndiyo wanakubeba na kukulinda hapo Simba SC ila nawe ona Aibu basi yaani Simba SC imeshaachana na Makocha zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Hapo vip! Kuna jambo halipo sawa kwa wachambuzi na wale watu wanaokoments sana kwenye posts mbalimbali zinazo usiana na posts za Simba. Kutokana na matokeo mabaya ya Simba kwenye club bingwa ni...
0 Reactions
11 Replies
448 Views
LEO, klabu ya Yanga SC itashuka dimbani nchini Algeria kwenye Uwanja wa Hocine Aït Ahmed kukabiliana na JS Kabylie katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Wananchi wanaingia kwenye mchezo huu...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Kagoma, kibu, chamue na kante sio wakuwekwa benchi na akina maema, budo, kamara, na wengine. Kiukweli kama Dp world anataka timu mpeni tu. Huyu budo tunae mwaka sasa hana chochote basi tu...
1 Reactions
22 Replies
834 Views
SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa leo saa 7:00 usiku wakati Stade Malien kutoka Mali itakapokutana na Simba SC ya Tanzania. Mechi hii itachezwa Stade du 26 Mars...
5 Reactions
79 Replies
3K Views
Hamtaki kusema ukweli hii ndio timu Bora duniani imagine imecheza games 3 kubwa wiki Moja na imepata point 7 muhimu gunner to the world
1 Reactions
6 Replies
387 Views
Magoli mchezaji aliyempigania na anakula nae ni Joshua Mutale budo. Lazima aanze piga ua. Na Fadlu kuondoka tu kawashika wasouth wawili. Za ndani kabisa.(kwa mujibu wa za ndani kabisa) Mpanzu ni...
3 Reactions
10 Replies
551 Views
Klabu ya Manchester United imeamua kuendelea kubaki na Erik ten Hag na tayari mazungumzo ya mkataba mpya yameanza na Kocha huyo ambaye iliaminika atafukuzwa kazi kutokana na kufanya vibaya katika...
1 Reactions
2 Replies
840 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…