Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mpira uliochezwa na USM ALGER kwa mkapa siyo wakutisha sana nakuona kwamba Yanga ndiyo imefika mwisho. NALIA NGWENA nitakubali Yanga umekosa kombe endapo nitaziona dakika tisini (90) zingine huko...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Leo FB nikutana Na post hii ya bakary kutoka cote d'ivoire alikuwa ame comment ikiwa mke wake atapata mtoto wa kiume atamuita jina fiston mayele ili kuonyesha upendo wake kwa mchezaji huyu anaye...
1 Reactions
4 Replies
845 Views
1. Kwamba Mgunda na andazi bora andazi? 2.Kwamba washauri wa Feitoto na andazi bora andazi? 3.Kwamba Yanga ndio ya kwanza Tanzania kucheza fainal kombe la CAF? 4.Kwamba Simba njooni uwanjani...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Umofia kwenu. Binadamu tumeumbwa kusahau. Nimeamua niwakumbushe utopolo aina ya mpinzani waliyenaye akiwa nyumbani. Kwenye mechi za makundi. Mechi ya Kwanza alicheza na Saint Etoil De...
26 Reactions
74 Replies
4K Views
Yanga wameshitakiwa tena CAF, mara hii mlalamikaji ni klabu USM Alger ambao walishinda 2-1 juzi jumapili. Msimu huu Yanga inashitakiwa mara ya 3 baada ya Club Africaine na Rivers United...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna watu wana hoja dhaifu sana, tena waandishi wa habari ndio nawalaumu ingawa wengi wao akiwemo Ally Kamwe walizaliwa juzi tu, bahati nzuri mimi ni mmoja wa vijana tulioshuhudia mechi ya fainali...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Timu za kariakoo hazina wasemaji watimu Bali zina waropokaji tu na kutaka sifa (kiki) katika jamii. NALIA NGWENA nimejikuta namkumbuka msemaji wangu Bora kabisa mwamba kutoka Mtibwa sugar Thobias...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa. Njoo...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa klabu ya Young Africans Arafat Haji, amewaondoa wasiwasi Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo kuhusu mustakabali wa Mshambuliaji kutoka DR Congo Fiston Kalala Mayele, ambaye...
2 Reactions
2 Replies
976 Views
Mashabiki wa timu ya Yanga walikuwa wametoka dar kurejea Songea kupitia njia ya Lindi wamepata ajali asubuhi maeneo ya huria wilaya ya Namtumbo ! Dereva kashindwa kukata kona. Hakuna vifo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Taarifa inayosambaa ni kuwa Klabu Bingwa mtarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF, USM Alger wameishitaki Yanga kwa shutuma za kuwapulizia hewa isiyo salama katika vyumba vyao vya mapumziko uwanja...
11 Reactions
27 Replies
4K Views
Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Asikudanganye Mtu hapa Barani Afrika hakuna Watu wanaojua Kushangilia Viwanjani na Kufanya Fujo na Vitimbi vya kila aina ili Kummaliza kabisa Mpinzani Kama Mwarabu na hasa hasa Waarabu wa Misri na...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe ni kuwa utaratibu wa usafiri upo chini ya Haji Manara.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini. Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini...
0 Reactions
11 Replies
883 Views
Mbwembwe zote kusogeza mbele mpaka game za mnyama ili haya majamaa yaone kweli yanakazi ya kuleta heshima hapa nchini, matokeo yake yamekalia michambo na kuwatusi watu ambao hawajawakosea...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Hakuna wakumfananisha nae nasema tena hakuna, hakika mwamba kutoka Tunis kocha wa mpira wanayanga hawana Cha kumdai kwa kazi kubwa anayoipiga ikiambatana na mataji (makombe) yanayorejea mitaa ya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kikosi cha kuiua USM kwao Kikosi kiwe 3:5:2 1 Diara 2 Juma Shaban 3 Lomalisa 4 Mwamunyeto 5 Job 6 Baka 7 Zawadi mauya 8: Bangala 9 Mayele 10: Mudathir 11 Morrison Yaani kuwe na mabeki watatu...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Anasema mwanazuoni: Karibu Tanzania ambako wajinga ndiyo werevu na werevu ndiyo wajinga.
3 Reactions
11 Replies
845 Views
Back
Top Bottom