Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mimi na wenzangu tunaitakia USM Alger ushindi mzito wa kuanzia goli 3. Hawa Utopolo wakipigwa hata 6 tutafurahi zaidi. Wapigwe mpaka wasahau kama wamefika fainali. Kiwe ni kipigo cha aibu kuu...
25 Reactions
69 Replies
3K Views
Salam wana jamvi. Ni siku chache tu waliowengi tuliona post ya mjasiriamali mbunifu wa gari la umeme Bw. Kipanya akisambaza sauti ya vikao vya ndani vya maafisa wa serikali wakijadili kuhusu gari...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria...
4 Reactions
3 Replies
813 Views
Bado sijaelewa, huyu kijana anataka nini, maana kila baada ya muda mfupi anabadili maneno. Mwanzo alisema analipwa kidogo hadi kushindwa kununua nyama, samaki na mchicha, kiasi cha kula Ugali na...
4 Reactions
13 Replies
756 Views
Hapa nazungumzia saikolojia ya kucheza na refa. Waarabu kitu kidogo wamelalamika na kuonekana kama wameonewa. Mpira katoa yeye anakimbilia atake kurusha na uhuni mwingine mwingi. Mambo kama haya...
2 Reactions
7 Replies
879 Views
Kufuatia Mchezaji wa Klabu ya Yanga Feisal Salum kunukuliwa kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast ya Clouds FM, alisema kuwa yupo tayari kurudi kucheza Yanga endapo Engineer Hersi...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Unaposema Yanga imejaa wahuni (masela) tazama mafanikio yao pia. Imetoboa fainali kitaifa. Imechukua kombe Nbcpl Imechukua kombe la ngao ya jamii Ipo fainali kombe la Azam (shirikisho) Uhuni ni...
1 Reactions
14 Replies
751 Views
Haji Manara kaamua kama kawaida yake anapotetea Yanga au GSM na Hersi Said ataangamiza chochote mbele yake hata kama ni baba yake Mzee Sunday. Kwake mlo na sifa ndio muhimu. Muingiliano wa sauti...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
𝗗𝗢𝗡𝗗𝗢𝗢 𝗭𝗔 𝗙𝗘𝗜𝗦𝗔𝗟 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗙𝗔𝗦𝗧 𝗖𝗟𝗢𝗨𝗗𝗦 -Nilikuja bara na timu yangu ya JKU kwenye mashindano ya kagame cup na ndipo Yanga na Simba waliniona,Ila timu ya kwanza kunitaka walikuwa Simba ambao...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield 🇿🇦 Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Meya mstaafu wa Ubungo bwana Boniface Jacob amemtaka Feisal Salum amrejeshee pesa yake aliyomchangia kwa sababu amegundua anatumia UTAPELI kuchangisha pesa kwa ajili ya kesi yake kwenda CAS...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo nimeshangazwa sana na hi story tukiwa kijiweni na walala hoi wenzangu alikuja ntu mgeni kwenye kijiwe cha kahawa katika story akajikuta ameongea hii kitu Uarabuni ni kawaida waarabu...
0 Reactions
7 Replies
677 Views
Kwa uchambuzi wangu mdogo ...nmefuatilia uchezaji wa mechi za ndugu zangu ... makolo walipo kutana na ndugu zao ( wadhaifu) vipers, horoya, big bullets Na kucheza chini ya kiwango .....pia Baada...
0 Reactions
39 Replies
1K Views
Ki ukweli Fei katuangusha sisi mashabiki wake kwa kile alichoongea leo kaharibu kila kitu. Ni bora angenyamaza. Nikikumbuka nilimchangia nikijua kweli kaonewa halafu nikiikumbuka interview yake ya...
3 Reactions
14 Replies
726 Views
Wakati Yanga wakiendelea kutafuta mchawi aliyesababisha wakapigwa na USMA wikendi iliyopita, baadhi ya mashabiki wao wameanza kuwashutumu baadhi ya watendaji wao kwa usaliti kisa kuvaa nguo zenye...
14 Reactions
44 Replies
4K Views
Klabu ya Simba leo imemtangaza Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programu za Vijana wa Simba wakati Selemani Matola akitangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu za Vijana U-17 na U-20. Mtendaji Mkuu wa Simba...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Wizara hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) katika sekta ya michezo nchini ili kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Rekodi nyingine zinatia aibu sana. Je ni wasi wasi gani mlikuwa nao na mnajiamini mlisajili? Au ni kuitoa timu iliyoshuka daraja? Hii ni aibu kubwa kwa Taifa.
4 Reactions
11 Replies
813 Views
Back
Top Bottom