Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini 2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda. Kudadadeki....!!
1 Reactions
8 Replies
1K Views
FAINALI CAF;DOSARI YAANZA KUJITOKEZA MECHI YA YANGA. Fainali CAF; dosari yaanza kujitokeza mechi ya Yanga. Washabiki wa yanga wanalowa na mvua toka saa mbili asubuhi wapo nje ya uwanja,kwa nini...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto. Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7 Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Natoa angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana, hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala, Mkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger. Potelea mbali. Rais kutoa...
28 Reactions
83 Replies
5K Views
Ndio kilichobaki aletwe kaburu kutuendeshea Uwanja wa Mkapa Sisi tunataka burudani Siyo Siasa Hata Tundu Lissu akitutafutia mwekezaji kutoka Ubelgiji kwa akina Mbwana Samatha na Lukaku ni Sawa...
1 Reactions
7 Replies
595 Views
Wamezoea hawataamini macho yao uzi tayari tayari.
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Wachambuzi wa Soka Tanzania na Watanzania ni Wanafiki sana wengine washakuwa Wachawi. Kwanini kufungwa Yanga kiwe kitu cha ajabu kiasi hicho?Kila kona kelele na uchambuzi mavi usio na kichwa wala...
1 Reactions
11 Replies
522 Views
guest-1786390423
Japo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza...
28 Reactions
67 Replies
5K Views
Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu...
12 Reactions
74 Replies
5K Views
Baada ya Wananchi kupoteza mechi ya Leo huku kukiwa na matumaini hafifu kwenye re-match tunaweza kusema wachezaji wetu wamekufaje? Simba wao walisema walikufa kiume.
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Lazima yanga wavunje bank wanunue Namba sita mkata umeme mwenye kasi Ili akae katikati na aucho acheze 8 Namba kumi wa kisasa mwenye kasi na anayeficha mpira Namba saba mwenye kasi na anayetumia...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi na wanaspoti habari za wakti huu.... Nitangulie kutoa Pole kwa Wanayanga wenzangu,ila pia nitoe pongezi kwa viongozi,socialites & pundits wote ambao ni wanazi wa simba kwa kuzika...
0 Reactions
5 Replies
616 Views
Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara...
2 Reactions
8 Replies
592 Views
Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia. Goli moja walilopata...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
"...Mvua imetuchanganya...Mvua tukienda Halftime na yenyewe inaenda Halftime, Timu zikirudi kutoka vyumbani Mvua na yenyewe inatua... Yanga tukishambulia Mvua inakua kubwa...Wakishambulia Waarabu...
3 Reactions
11 Replies
565 Views
Kuna watu wanacheka saana Yanga Na kusema safari kwisha. Nataka tu niwaambie Yanga sio kama Simba. Mimi Nina 100% Yanga anakwenda kupindua matokeo ugenini Kuna uwezekano mkubwa mechi ya round ya...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa USM Alger Benchikha Abdelhak amesema bado ni 50 kwa 50 kwa kikosi chake kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika, licha ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Young...
0 Reactions
7 Replies
887 Views
Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023 1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali. 2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara. Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi...
34 Reactions
88 Replies
6K Views
Back
Top Bottom