Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nilimsikia Msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally akijinadi kwa madaha akiwadanganya mashabiki kuwa Simba Sc itamuaga Jonas Mkude na kustaafisha jezi yake. Hiyo ni kwa mbumbumbu tu wanaweza wakaunga...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Klabu za Kitayosce iliyoko Ligi Kuu ya NBC, na Fountain Gate inayocheza Ligi ya Championship zimefungiwa kusajili wachezaji. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Niko hapa napiga story na ndugu Arafat ananitaarifu Wiki ya Wananchi msimu huu wanataka ipambwe na Wazulu kutoka Kusini. Siku ya jana walipewa mualiko rasmi hivyo wanategemea mrejesho siku ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua sio vizuri kuchanganya siasa na football Lakini naomba tusamehane kidogo Maana swala ili limekaa kisiasa Mwaka 2024 ndo kutakuwa uchaguzi mkubwa DRC Na kila kiongozi kwasasa anafanya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mo Dewji ni mwekezaji wa simba sport club kwa hisa 49% kwa nini analalamika? 1. ucheleweshaji wa mchakato wa mabadiliko 2. Upande wake umeshatimiza matakwa mahususi 3. Upande wa wanachama bado...
3 Reactions
4 Replies
719 Views
Soka ni pesa, bila pesa soka inaweweseka. Mohamed Dewji amekuwa sehemu muhimu ya maendeleo ya Simba Sc kiuchumi na hivyo kufanikisha pia usajili mzuri wa Wachezaji na benchi la ufundi. Lakini...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa Washambuliaji mahiri waliowahi kupita / kucheza Yanga SC hata huyu Mayele bado hajafikia 50% isipokuwa saaa anaimbwa na kupambwa kwakuwa tu Nyota imemuwakia na Vyombo vya Habari nchini...
3 Reactions
6 Replies
892 Views
Wenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums? Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Kutoka kwa Casto news. 𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗧𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗞𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗔𝗠𝗞𝗘𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗟𝗢 Nimeona posti ya mwekezaji wa makolo analalamika kuwa anakwamishwa na atajitoa,,Okay hapa staki kuongea kishabiki wala...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Timu ya soka ya Yanga imemtambulisha Kocha Msaidizi kutoka Senegal anayeitwa Moussa Ngao. Kwa utambulisho huu ni wazi kuwa Cedric Kaze hatakuwa sehemu ya benchi la Ufundi la Yanga.
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Klabu ya Misri iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 2 na Kumpa Mshahara wa Tsh Milioni 85 za Kitanzania kwa Mwezi. Klabu nyingine huko Saudi Arabia iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 1.5 na...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
"Asanteni kwa Upendo wenu mkubwa Kwangu na kiukweli bila Yanga SC nisingefikia haya Mafanikio niliyonayo sasa. Kiukweli tunacheza Mpira kwa ajili ya Pesa na Maisha hivyo nawaombeni nikacheze huko...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Watani wetu, Wao kazi yao kama mashabiki hua wanaifahamu kila msimu, Na majukumu ya mashabiki wa simba ni kama ifuatavyo, 1. Kuishangilia timu yao viwanja mbalimbali 2. Kujitahidi kumbembeleza...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hii imetokana na kuuza usingizi wao wakijua anashuka mayele au jembe lingine la maana,kustuka!!!!wakala chuma hiki hapa[emoji116][emoji116]
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka? Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Ihefu ya Ubaruku mkoani Mbeya Adam Adam aangukia mikononi mwa Mashujaa FC wa Kigoma. Adam Adam alijiunga na Ihefu January 2023 na sasa ni mali ya Mashujaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukipita mitaani ukawakuta mashabiki ,WA Simba na wachambuzi wa soka watakuonyesha kwamba mo dewj anaidhulum Simba au wanataka billion 20, wakati huo huo mo dewj ameendelea kutumia pesa zake...
0 Reactions
10 Replies
859 Views
Imekua kawaida sasa kuona mashabiki wa simba wakifanyiwa mizaha na viongozi wao kwa kuendesha propaganda ambazo ni wazi nyuma yake kuna viongozi wao. Nasema hivi kwa sababu kwanini wanaozusha hizi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hatimae TFF wameachia ratiba ya Ngao ya Jamii kwa timu nne ambazo ni Yanga, Simba, Azam na Singida. Mechi zote kupigwa katika dimba la Mkwakwani kuanzia August. Kwa ratiba hii unamuona nani akiwa...
12 Reactions
60 Replies
10K Views
Mzuka wanajamvi! Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi. Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom