Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwakweli nitafanya hivyo. Chelsea mmetoa uzi mkali sana. Japo tayari nimeagiza uzi wa Man U kutoka huko but naagiza na wa Chelsea. Hongereni sana.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge. Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima...
10 Reactions
43 Replies
5K Views
1. Diara 2. Mwaikenda 3. Zimbwejr 4. Job 5. Inonga 6. Mzamiru 7. Dube 8. Aucho 9. Mayele 10. Chama 11. Ntibanzonkiza Umegundua nini?[emoji23]
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani . Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu...
10 Reactions
121 Replies
10K Views
Umegundua nini hapo.?
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Siku zinahesabika. Muda si mrefu jamaa ataachia ngazi. Amesha waandaa kimkakati. Msije kusema sikuwaambia.
0 Reactions
9 Replies
978 Views
Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya...
1 Reactions
2 Replies
917 Views
Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Beki wa Pembeni anayepanda na kushuka Mohammed Hussein ameongeza mkataba wa miaka miwili, hivyo ataendelea kuwepo kwenye viwanja vya Msimbazi mpaka mwaka 2025.
2 Reactions
5 Replies
827 Views
Kwa watu ambao wanajua vizuri mpira watakubaliana na mimi Kufika kwa yanga final ya Caf federetion kumewaongezea kujiamini na kujitambuwa pamoja na uelewa wa mambo kitu ambacho walikuwa wanakikosa...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Na mpaka sasa Jezi zimedoda katika Maduka mengi na kuna uwezekano zikashushwa Bei hadi Kuuzwa Shilingi Elfu Tatu ( Tsh 3,000/= ) ili tupate Pesa za Kumalizia Deni la Kocha Mbelgiji ili FIFA...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko...
-1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Closed
Mabibi na mabwana, kaeni tayari kuendelea kuzibwa midomo kwa nguvu kubwa. Kuna tetesi kuwa DP World wako tayari kudhamini ligi kuu soka Tanzania bara. Inasemekana awali ilikuwa mgogoro wa Yanga...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili. Uganda ni my Second Home na nina Rafiki...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa Simba Sports Club wameuliza swali la "NI MCHEZAJI GANI AMEWAHI KUCHEZA SIMBA UNATAMANI TENA KUMUONA AKIWA MSIMBAZI?" ikifuatiwa na Picha kumi za Wachezaji...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Simba kwa miaka mitano ya ubora wao wamefanikiwa kufika robo final ya club bingwa mara 4 na robo final ya Caf federetion mara 1 Yanga mwaka mmoja wa ubora wao wamefanikiwa kufika final ya Caf...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu...
11 Reactions
79 Replies
5K Views
Source East Africa redio muda huu. Haya roho mbaya mnaozusha kuwa kapigwa chini kwa sababu ya uswahili na ukata mna la kusema? Safari hii mnaahangaika sana kuchochea kuni kwenye jungu lililojaa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu; 1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane naye ili amshawishi asaini na abakie. 2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom