Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥
Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na...
Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika.
Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji...
Winga Teleza na mmwaga maji hatari kutokea Taifa la Congo kanaswa kwenye Nyavu za Wananchi na kila kitu kinaenda vizuri na kesho kuna uwezekano mkubwa akatangazwa na kuungana na Jeshi la Kijani...
MSIMU ulioisha ulikuwa wa pili kwa Fiston Mayele hapa nchini. Msimu wake wa kwanza katika pambano moja la Simba alikutana na kisiki kinachoitwa Joash Onyango. Ni ndani ya miezi 24 tu iliyopita...
Kuna kundi kubwa la watu wamekuwa wamekariri tu kuwa msimu fulsni timu nane hazitoanzia hatua ya awali lakini hajui hata ni vipi inapatikana na pia hajui kama idadi aliyotaja inaweza kuwa sahihi...
Wakuu tuweke mambo wazi.. Timu yetu ya Simba uwezo ni mdogo sana, wachezaji wengi ni wa viwango vya ndondo cup, Kwa kulitambua hilo uongozi wa Simba umewekeza zaidi kwenye propaganda zaidi maana...
Ndio kwani shida ipo wapi bhana?
Kama hela kwenye kibubu hamna, semeni mashabiki na wanachama tutachanga kuhakikisha Simba inawafanyia umafia na kuivunja vunja yanga kipindi hiki!
Raha ya...
Kuna nini huko?
Nyota wa Klabu ya Simba SC, Clatous Chama [emoji1268] kupitia Instastory yake ame-repost tweet ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez akionesha kukubaliana...
Hatimaye mwenye Jezi yake karudi Msimbazi ni suala la muda tu unaosubiriwa jamaa atangazwe na kukabidhiwa Jezi yake. Swali ni moja tu, alikuwa anahitajika kwa kipindi hiki pale Msimbazi au...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kampuni ya HK Group sasa iko tayari kuwekeza katika Vilabu vikubwa nchini Simba SC na Dar Young Africans
Ikumbukwe Mwekezaji Mo Dewji amesema...
Inaonekana hakuna maingizo mengi mapya,hasa baada ya kumalizana na bangala na lomalisa,ambao ilisemekana wana mpango wa kusepa..ila kwa mayele hapo mhh sina uhakika.
Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu kutolewa kwa Tuzo za TFF 2023, kuna malalamiko yameibuka juu ya zawadi za washindi.
Kwa mujibu wa mmoja wa washindi wa tuzo hizo, mpaka leo hawajakabidhiwa fedha...
Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba.
Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba.
Mkude anaenda kuchukua namba ya...
Wakuu,
Timu yetu msimu huu kuna kila dalili tumekuwa serious zaidi kwenye usajili. Lakini angalizo muhimu ambalo limekuwa donda sugu ni kocha kupata wachezaji kwa mafungu na kumfanya ashindwe...
Ni kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu, lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana.
Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.