Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Watanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza. Baada ya mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (1 - 0) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama...
59 Reactions
66 Replies
2K Views
Nimeamini Watanzania hawajui mpira. Wachambuzi wakubwa wanalalamikia eti lile tukio la Jana referee ati kawadhulumu penalty Sasa Ile penalty Gani mnataka? Sio kila contact ni faul Ile contact...
7 Reactions
32 Replies
718 Views
Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo...
3 Reactions
9 Replies
647 Views
Kwanza wamefungwa... Wekeni picha ya mshindi. Yani M-Morocco Picha ya loser haiwezi kupamba front page ya media... hamuoni hata mapicha ya media za dunia? Pili tunajaribu kuponya akili za...
2 Reactions
4 Replies
370 Views
TAIFA STARS IMEKUWA BORA BILA WACHEZAJI WA SIMBA. Sijajua kama viongozi wa Simba Kuna kitu wamejifunza kupitia hii AFCON, ila ukweli ni kwamba hii imetuonyesha kuwa Simba Ina wachezaji wa kawaida...
2 Reactions
16 Replies
352 Views
Kutoka kuwa kocha mkuu wa Singida Black Stars hadi kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi ambacho ndio cheo kipya cha Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni kocha wa muda wa Taifa Stars. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
1 Replies
319 Views
NAONA MAKELELE.MTANDAON KILA.KONA WELL NASHAURI WAJUE PIA KUNA MAKOSA WALIFANYA YAMEWAGHARIMU WAKISOMA.WASIKIMBILIE WAMEONEWA NA REFA JE ZILE NAFASU 2 WANGETULIA SI WANGESHINDA MECHI ASSUME...
1 Reactions
9 Replies
255 Views
Mpira ulikuwa mzuri na ulikuwa huru na haki naipongeza sana Morocco imepata ushindi wa kishindo kutokana na jitihada kubwa pamoja na maandalizi mazuri waliyo kuwa nayo. Lakini pia nampongeza...
10 Reactions
9 Replies
336 Views
Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati. Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
15 Reactions
46 Replies
990 Views
  • Redirect
Manchester United imefuta kazi ya meneja wake, Ruben Amorim, hatua iliyofuata matokeo mabaya ya timu katika michezo ya hivi karibuni. Uamuzi huu umefanywa na klabu asubuhi ya leo, Januari 5...
1 Reactions
Replies
Views
Taifa Stars wanastahili Tuzo maalum ya Amani huko Morocco
3 Reactions
13 Replies
439 Views
  • Redirect
Iliwezekanaje kuuwa maelfu ya watu, halafu ikashindikana kuiuwa Morocco jana? Mtoa amri hakusisitiza au alisalitiwa?
1 Reactions
Replies
Views
Congrats Mr Gamondi. Nimekupenda bure mkuu. Najua Morocco wamechanganyikiwa vibaya, aisee. Mkuu mwezi mmoja tu umeweza kuwaunganisha timu. Waendelee hivyo, aisee. Eng, embu tujaribu tena kama...
3 Reactions
11 Replies
362 Views
Hakuna raha kama kuwashuhudia Mazezeta ya Taifa stars yaking'olewa kibabe na timu ya Taifa ya Morocco. Maana Walikua wamejiandaa kumuimbia mapambio yule mtu fudenge alie mafichoni. Tena...
11 Reactions
29 Replies
464 Views
Udhaifu wa kutokujua lugha zaidi ya Moja hasa kifaransa na kiingereza ndiyo chanzo kikubwa cha marefarii wetu kutokupangwa kuchezesha mechi zinazoandaliwa na CAF. Itakuwa ni aibu tuandae...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
MPAKA SASA HALI SIO NZURI KWETU MPAKA SASA INAONEKANA FT MATOKEO YATAKUWA 2-0/2-1 KUNA MCHEZAJI AKIWEPO KWENYE LIST NTAWAJUZA MAPEMA 3 ZINAWEZA KUTUHUSU ALL N ALL KILA LA KHERI TIMU ZOTE
2 Reactions
19 Replies
359 Views
YAMETIMIA . Timu ya Taifa ya Mali imetinga robo fainali baada ya kuitupa nje ya michuano ya AFCON,Tunisia kwa mikwaju ya penati 3-2 baada ya sare ya bao moja ndani ya dk 120. . Mlinda mlango wa...
1 Reactions
7 Replies
249 Views
  • Redirect
Sio kwa fitina hii 😁.Naangaloa hapa yani uwanja mzima hata mtanzania mmoja siwaoni au mimi ndio naona.
0 Reactions
Replies
Views
Naona dalili zote za kupata pressure. Yaani vitu vingine unaweza ukalia. Okay muda bado upo ngoja tuone.
5 Reactions
23 Replies
482 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…