Mchezo unaendelea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, upinzani ukiwa ni mkali, wenyeji TRA wanacheza pungufu baada ya mwenzao mmoja kucheza kadi ya pili ya njano.
Hadi Kipindi cha...
Kipa Aishi Manula amerejea rasmi katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars, kitakachoingia kambini Machi 22, 2026 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya FIFA Series 2026.
Orodha hiyo...
Jana nimecheka cheko la mwaka, hakuna kituko. Cheko la mwaka kama cha CAF na Morocco wake.
Sisi Simba tunaomba tupewe goli letu.
Yanga nao wanataka goli lao, hahaha.
cc
TFF
Rushwa adui wa...
Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟?
Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes 🤔
Hongereni sana Morocco
Pia soma Senegal wapokwa...
Ukweli ndio huo ndugu zangu waafrika. Imebainika hivyo ya kwamba michuano ya WAFCON kwa wanawake ilimsimamishwa ghafla kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, ila imekuja kubainika ya kua kumbe...
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025
FSF imepinga rasmi uamuzi huo...
Iran's embassy in Mexico on Tuesday said the country is negotiating with FIFA to move Iran's World Cup matches from the U.S. to Mexico after President Donald Trump discouraged the team from...
Tupo uwanjan saiv na astonvilla,kipindi cha kwanza tayari 0-0.Ila miamba hawa tupo sare kwa point 51,City 61 na arsenal 71. Naomba mungu tutoke hata moja 1-0 ilitusalie top...
Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo...
AFCON 2025 Final Preview:
Wenyeji Morocco wako tayari kwa pambano kubwa dhidi ya mabingwa wa 2021 Senegal
Mchuano wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 unapingwa rasmi leo usiku m,ajira...
Morocco wameatangazwa washindi wa AFCON baada ya matokeo ya fainali kubadilishwa na CAF.
Senegal wameazimiwa kuanguka mechi, na Morocco wamepewa ushindi wa 3-0 kama ilivyotolewa kwenye taarifa...
Kwa mujibu wa kanuni na mikataba ya uenyeji ya CAF, nchi inayopata nafasi ya kuandaa AFCON hulazimika kusaini makubaliano ya uenyeji yanayojumuisha majukumu mbalimbali ya kifedha. Miongoni mwa...
•Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu
• Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa...
Una wachezaji watatu wa kiwango cha juu kwenye kiungo cha kati: Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos.
Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na...
Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati...
Pamoja na mechi ya Azam vs Yanga kutangazwa kuliko vita vya Iran lakini mwitikio wake imekuwa Duni mno, Hakuna watu uwanjani na Wala ufuatiliaji wake kwenye TV ni kiduchu mno.
Wachunguzi wa Mambo...
Mradi huo unaojengwa Fumba kisiwani Unguja, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani milioni 150 (Sh388.8 bilioni za Tanzania) ambao unalenga kuvutia watalii watakaofika kushuhudia mashindano hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.