Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

WAKATI Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka kwenye mtego kutoka Shirikisho la...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kazi iendelee. Damu nzito kuliko maji ndio msemo maarufu unaolezea uzito na ukaribu wa ndugu wa damu lakini msemo huo ni tofauti na...
28 Reactions
60 Replies
5K Views
Aise hii michezo ni hatari sana, sio kiuchumi tu zaid kiafya, hii kitu imenikuta jana. Sasa Jana katika kujaribu zari nikawa nimebeti, nikazipa kama timu nane hivi nikatia stake yangu kiasi...
30 Reactions
126 Replies
9K Views
Timu ya Al Ahly ya Misri inawaalika Yanga ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika Dar Es Salaam walitoka sare ya 1-1. Yanga...
9 Reactions
528 Replies
105K Views
Kuna lijaamaa linaitwa Congo cash ni huko Sokabet sijui nimeicheza naona iko powa linatema hela vibaya sana ila kila mtu na bahati yake 😄🤣😂.
1 Reactions
1 Replies
542 Views
Mnapoleta porojo zenu, msisahau kusema pia ni jezi iliyowahi kuweka rekodi, yaani jezi ambayo imevaliwa mara 2 na ikaiingizia timu Billion 5 point, hapo Simba ana hasara gani?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Hapa Tanzania wachezaji wanapitia wakati mgumu ambao sio wageni na waeleza wale wachezaji wa ndani. Timu mbili ambazo zinaweza kukupa mashavu na madili makubwa ni Simba na Yanga, ila hizo hizo...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo: 1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae...
15 Reactions
37 Replies
3K Views
Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1...
8 Reactions
90 Replies
11K Views
GENERAL IMPORTANCES OF SPORTS: A sport is an activity involving physical exertion and skill in which an individual or team competes against another or others for entertainment. There are so many...
1 Reactions
2 Replies
734 Views
BERNARD KAMUNGO, Mwanasoka ambaye alilelewa kwenye kambi ya Wakimbizi huko Kigoma, Tanzania! Aliyekuwa na uwezo wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, sasa ameitwa rasmi timu ya taifa ya Marekani...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hiki ninachokiandika ndio ukweli wenyewe mimi si mshabiki wala mpenzi wa simba mimi ni mwanachama wa coastal union "Mangushi" "wana coastal wali ng'ombe" ya tanga,msije mkasema coastal ni ndugu wa...
14 Reactions
12 Replies
1K Views
Beki Chemalone Yuko vizuri ila Kiufundi GENTAMYCINE nimemtizama na nimegundua amebarikiwa Akili nyingi na Nguvu, ila hana Kasi (pace) na inaweza Kutugharimu tukikutana na Timu zenye Mafowadi...
14 Reactions
30 Replies
3K Views
Beki wa kati wa Manchester United, Harry Maguire ametoa kauli ya kuwa kama ataendelea kupata nafasi ndogo ya kucheza chini ya Kocha Erik ten Hag basi atafikiria kuondoka Januari 2024. Maguire...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Teknolojia imeleta maendeleo makubwa katika utendaji kazi; kazi za uzalishaji mali miaka ya 1923 ni tofauti na mwaka 2023, hii ni miaka mia moja ambayo tumepata kushuhudia matumizi makubwa ya...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Semaji la Simba limeongea sana, semaji hili la kimakonde linaongea kwa vituo sana, linajua kuongea, linajua kujenga hoja, linajua kukera.Kiukweli hatujutii bwana yule kuondoka, akwende zake kabisa...
3 Reactions
3 Replies
806 Views
Nimefatilia viingilio katika mechi ya ufunguzi wa African football league ambapo kiingilio cha chini ni 7000 kwa kweli nimefurahishwa japo mimi ni shabiki kamili wa Yanga ila kwa hili Simba...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwema wadau.... Nimeiona habari ya mtanzania Benard Kamungo anayecheza ligi kuu ya marekani "Major league soccer" yaani MLS Kule alipo mtaalamu wa kucheza soka duniani Leonel Messi kuitwa kwenye...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limesema bado linaendelea na harakati za kuhakikisha Benard Kamungo anaitumikia Tanzania kwenye michuano mbalimbali Mkurugenzi wa ufundi wa TFF amesema...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…