kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,183
- 16,193
Hiki ninachokiandika ndio ukweli wenyewe mimi si mshabiki wala mpenzi wa simba mimi ni mwanachama wa coastal union "Mangushi" "wana coastal wali ng'ombe" ya tanga,msije mkasema coastal ni ndugu wa simba kamwe hata siku.
Simba wamehi kuiteremsha daraja coastal mjini tanga coastal wakihitaji pointi moja tu,Heri yanga kipindi cha uongozi wa marehemu mzee tabu mangara waliweza kuisadia coastali union kucheza mechi ya kirafiki mapato yake yaliisaidia coastal union kuongeza pesa kununua jengo la klabu yao.
Leo niwape siri kidogo wale wenye kusema wallace karia ni simba si kweli karia ni coastal union damu kulia lia kama kubeba timu angeibeba coastal union.
Nije kwenye mada simba ndio timu inayotuletea heshima ya wageni waandamizi wa soka ulimwenguni kama si duniani na hawaji kutalii wala kwenye tamasha la simba day wala mwananchi ila kwenye mechi rasmi ya kimashindano.
Niwaambie tu waandishi wachambuzi tuondoe ushabiki tuipe simba heshima yake bila simba matukio kama haya tungeyasikia tu viongozi wa juu wakija kwenye vikao vyao.
Tuipe simba heshima naona hawapewi heshima inayostahili kama wawakilishi maalumu kutoka ukanda wa cecafa.
Tarehe 20.10.2023 tutamshuhudia raisi wa kandanda ulimwenguni kipara sio kipya wala january makamba wala guadiola ila ni infantino wa Fifa akiwa na raisi wa Caf je hao hawakuja kwa ajili ya mechi ya simba?.
Ilitakiwa mijadala ya vipindi vya michezo vyote viinzungumzie simba bila kufananisha na wawakilishi ambao bado hawajaleta mafanikio hapa nchini.
Ni mengi ya kueleza lakini yangu ni haya machache simba ipewe heshima inayostahili.