Waziri Ndumbaro ashuhudia TP Mazembe ikipata alama tatu kwa Mkapa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo kati ya TP Mazembe ya DRC Congo dhidi ya Esperance Sportive de Tunis ya nchini Tunisia ikiwa ni mchezo wa mashindano ya African Football League ambao umemalizika kwa TP Mazembe kuibuka na ushindi wa 1-0.

Mchezo huo umeshuhudiwa pia na Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma na Katibu Mkuu Bw. Gerson Msigwa Oktoba 22, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Viongozi wengine walioshuhudia mtanange huo ni wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Vilabu na Mashabiki ambao wamejitikoza kwa wingi ukiwa ni mchezo wa pili wa mashindano hayo katika Uwanja huo ambayo yalifunguliwa Oktoba 20, 2023 kwa mchezo kati ya Simba na Al Alhy ya nchini Misri.

IMG-20231022-WA0114.jpg
IMG-20231022-WA0113.jpg
IMG-20231022-WA0109.jpg
IMG-20231022-WA0110.jpg
IMG-20231022-WA0108.jpg
IMG-20231022-WA0107.jpg
IMG-20231022-WA0111.jpg
IMG-20231022-WA0104.jpg
IMG-20231022-WA0112.jpg
IMG-20231022-WA0106.jpg
 
ASANTE SIMBA KWA KULIHESHIMISHA TAIFA.

Japo umeandika kisiasa sana.

Haya ni Mashindano ya Mtoano na sio Ligue.

Hawahesabu Point Tatu
Wanahesabu MAGOLi.
 
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo kati ya TP Mazembe ya DRC Congo dhidi ya Esperance Sportive de Tunis ya nchini Tunisia ikiwa ni mchezo wa mashindano ya African Football League ambao umemalizika kwa TP Mazembe kuibuka na ushindi wa 1-0.

Mchezo huo umeshuhudiwa pia na Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma na Katibu Mkuu Bw. Gerson Msigwa Oktoba 22, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Viongozi wengine walioshuhudia mtanange huo ni wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Vilabu na Mashabiki ambao wamejitikoza kwa wingi ukiwa ni mchezo wa pili wa mashindano hayo katika Uwanja huo ambayo yalifunguliwa Oktoba 20, 2023 kwa mchezo kati ya Simba na Al Alhy ya nchini Misri.

View attachment 2789739View attachment 2789740View attachment 2789741View attachment 2789742View attachment 2789743View attachment 2789744View attachment 2789745View attachment 2789746View attachment 2789747View attachment 2789748
mtoano huwq hatuhesabu point wewe nyangema
 
Watu Dodoma ilikua geresha tu. Maisha yapo Dar
 
Back
Top Bottom