FT: Enyimba 0-1 Wydad AC In African Football League

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,318
24,218
22 October 2023
Enyimba Vs Wydad AC in Aftican Football League

ENYIMBA 0 - 1 WAC
  • Dakika 3' mchezo unaendelea magharib ya leo
  • Dakika 7' Kona kuelekea Enyimba
  • Dakika 10' hizi za mwanzo Wydad inaonesha uchu wa ushindi
  • Dakika ya 11' Mbouma namba 15 mgongoni wa Enyimba anapata nafasi lakini apiga mwingi na kupaisha boli
  • 13' mpira mrefu wa Wydad unasababisha kona unaokolewa, huku Abdufatah wa Wydad akiambulia kadi kwa kucheza rafu
  • Dakika ya 17' Enyimba wanakosa nafasi ya wazi, Wydad wanaokoka
  • Dakika 18' kona mchezaji Atule wa Enyimba namba 7 mgongoni mpira wa kichwa unatoka mita chache na Wydad tena wanapona kufungwa
  • El Bahri wa Wydad anaumia mpira wasimama kwa muda wa dakika 7
  • Dakika 27' mchezaji wa Wydad anaruka na kupiga header safi mpira unatoka Enyimba FC waokoka kipigo
  • Dakika 30' Enyimba wapata mpira wa adhabu kuelekea Wydad lakini mpira unaokolewa na walinzi wa timu hii ya Morocco ya Wydad
  • Dakika ya 34" Bousefiane wa Wydad anakula kadi ya njano alipozuia counter attack ya hatari ya Enyimba
  • 34' nafasi ya wazi, golikipa wa Enyimba anasababisha penalty huku akila kasi ya njano
  • GOAL ! Jabrane! dakika ya 39' Goal Wydad wanaongoza
  • Dakika 43' Awazie ! Shuti lake kali laenda moja kwa moja mikononi mwa kipa wa Wydad, hivyo Enyimba kukosa nafasi ya kusawazisha
  • Dakika 47' + dakika 4' za nyongeza
  • mpira unaenda mapumziko Enyimba 0 -1 WAC
  • Tafadhali turudi uwanjani kipindi cha pili kimeaanza
  • Hadi dakika ya 55' umiliki na mashambulizi ni 50/50 baina ya Wydad na Enyimba
  • Dakika ya 60' pasi mpenyezo za Enyimba zajibiwa kwa counter attack za Wydad
  • El Monte kipa wa Wydad aonywa kwa kupoteza muda
  • Dakika ya 67' mshambuliaji Enyimba almanusra afunga goli la kusawazisha ! Inababatiza, Inaishia Corner kick
  • Dakika ya 70' Enyimba FC wamenusa damu na kujaribu kuweka pressure ya ushindi kwa dakika kadhaa lakini defence line ya Wydad inaendeleza utulivu kuzuia madhara
  • Dakika ya 73' El Bahri atonesha tena jeraha lake la kichwani yupo chini akiugulia
  • Dakika ya 77' wenyeji Enyimba wanazidi kulisakama lango la wageni Wydad
  • Dakika 79' Wydad! Mpira unapaa juu ya lango la Enyimba
  • Dakika 81' fursa ya wazi kwa Wydad kupitia El Bahri lakini maamuzi yake mabovu yasiyo ya haraka, kipa wa Enyimba anaokoa
  • Dakika ya 87' Wydad wakosa nafasi ya wazi
  • Dakika ya 90' Wydad! Lakini defender wa mwisho wa Enyimba ala kadi nyekundu kwa kuzuia khatari ya wazi Wydad kuongeza goli
  • Mpira umeisha FT
  • Full Time: match results: ENYIMBA 0 - 1 WYDAD
 
Hizo timu zote mbili mbovu mbovu, zilicheza Mpira mbaya haswaaa. Hizi timu mojawapo ingekutana na watani zangu ingepigwa vibaya. Ni bahati mbaya mtani alipangwa na Al Ahly ambao muda wote wanachukulia Mpira kama vita.
 
Back
Top Bottom