Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Niliwauliza viongozi wa Simba Sc huyu kocha ametoka timu gani wakaniambia ametoka Vipers ya Uganda, niliwaambia mbona Vipers ni timu ndogo sana sisi tunataka kocha mkubwa sio kocha wa kutoka...
12 Reactions
45 Replies
6K Views
Jeff lea ni muongo anadanganya eti kuna slight favourite akimaanisha katika mtanange huo hatakuwepo "underdog" MWONGO ukiishakuwa na slight favourite maana yake tayari unae "underdog"...... Jeff...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya...
34 Reactions
284 Replies
28K Views
Disemba 3,2019 aliyewahi kuwa kocha wa Simba Patrick Aussems aliandika ujumbe wa kuwashukuru na kuwaaga wapenzi na mashabiki wa Simba na Watanzania kwa ujumla kwa wakati wote waliokuwa pamoja...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Je, Simba SC kutolewa na Al Ahly SC ilipaswa kuwa story kubwa?. Majibu ya swali hili yanaweza ibua mijadala mingi sana, ambayo si yataleta tofauti kwa mashabiki (watu kushikana mashati) bali...
25 Reactions
72 Replies
9K Views
Hawa viongozi wanafanya mambo kwa mihemko na kuwafanya wapenzi wa Simba kama mazombi. Hivi sasa wanataka kumrudisha Kishingo, kocha aliyeshindwa club nyingine. Hii ni dharau ya hali ya juu sana...
2 Reactions
4 Replies
837 Views
Wakati Yanga ikiwa ugenini kesho kuikabili Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amewataka mashabiki kusimama dakika ya 5 kwa ajili ya...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Timu ya Simba imesema yaliyopita sindwele sasa inaganga yajayo, dhidi ya mchezo wake na Namungo Novemba 09, 2023, utakaopigwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, ambapo Meneja wa Habari...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wapenzi wa Fantasy League ,huu ni uzi maalumu kwa ajili ya ligi yetu pendwa ya JamiiForums Fantasy League .joining code hsyx67 GW 1 Top 10 Top 10 after GW 2 GW 5 msimamo Gw 11
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Amenukuliwa na gazeti la African magazine sports kwamba kwa sasa katika group lao timu wanayohiofia ni young africa sport, alihojiwa kuhusu CR Belouzdad na Medeama akasema vijana wa yanga Africa...
13 Reactions
22 Replies
4K Views
Yes Che mallone beki kutoka Cameroon aliyesajiliwa kwa mikwara mingi kutoka Cotton sports ya kwao Cameroon ulikua ni muda tu hujafika kuona panapovuja waswahili wanasema wacha inyeshe tuone...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Cheza slot za EgT Interactive uvune mkwanja zaidi ya million 30 SOKABET ni rahisi 1. ingia website ya sokabet 2.Bonyeza slots 3.Chagua EGT slots anza kuspin hadi kwa shillingi mia Na hapo bado...
2 Reactions
0 Replies
464 Views
MANGUNGU AGOMA KUNG'ATUKA SIMBA "Bodi imefikia uamuzi huo (kusitisha mkataba na kocha) sio mimi. Simba inaongozwa kwa mujibu wa utaratibu. Nijiuzulu kwa sababu gani, kwani timu inafanya vibaya ...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao...
14 Reactions
150 Replies
31K Views
Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa...
1 Reactions
7 Replies
885 Views
Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu. Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Shabiki wa Yanga Mkoani Geita ndugu Hussein Makubi ametoa zawadi ya Ng'ombe wa tano kwa timu ya Yanga baada ya kuwafunga Simba goli tano kwa moja.
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake? Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
Back
Top Bottom