Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Eng . HERS AMEKOSEA SANA. Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na Rais wa CAF. Kitu alichokosea, ameanza...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam. Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio...
46 Reactions
135 Replies
9K Views
Huu ni ukweli mchungu lakini lazima usemwe, Simba SC imefanya usajili kwa matumaini makubwa wakiamini kuwa watapata mafanikio makubwa ikiwemo kuchukua makombe. NALIA NGWENA kila nikitazama...
7 Reactions
83 Replies
5K Views
Mimi 1979magufuli, shabiki wa Simba lia lia niliyeukataa uanachama kwa kuhofia kutolewa kafara siku moja, kwa utashi wangu na bila kushawishiwa nimeamua kuanzia leo ijumaa November 10 2022...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Anaonekana amekonda full stress full mawazo. On top of that he look so defeated. Yanga na Simba sio timu za kuziletea jeuri hata kidogo. Mashabiki wa mpira wa.miguu ni kama malaya. Malaya...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu wenye akili na mipango ya soka ndio wanatakiwa kuwa hivyo, Yanga inaweza kucheza fainal ligi ya mabingwa kwa sababu viongozi wake wameshaimaliza ligi ya bongo, wamejua ligi ya bongo ni...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Habar wakuu,nimeona tuchanganue upeo wa viongozi wetu wa klabu ya simba na yanga ili tupate mwangaza kidogo ni uongozi wa klabu gani upo makini Kama unavyojua ,Anza kama hivi; wakati raisi wa...
2 Reactions
6 Replies
611 Views
Juhudi na kujituma kwa jasho na damu ndiyo mafanikio makubwa kwa Fiston kalala Mayele "The Vibrater". Mayele alikuja Yanga SC baada ya Yanga SC kumuuza Tuisla Kisinda kwenda RS Berkane. Mayele...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Zikiwa zimesalia wiki tatu kuanza kwa michuano ya Ligi ya Soka ya Afrika, Ushiriki wa Mamelodi Sundowns katika michuano hiyo upo shakani baada Bodi ya Ligi kuu Afrika Kusini (PSL) kuwataka...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Kila la heri Wydad Casablanca, nawaombea ushindi dhidi ya mamelodi, wale mashabiki wa Wydad tujuane hapa Free palestine 🇵🇸
1 Reactions
9 Replies
849 Views
Rais wa Yanga leo tarehe 11/11/2023 ameonana na mmiliki wa kaiza Chief bwana kaizer Motaung na kufanya majadiliano kwa kina Eng Hersi pia amehudhuria dabi ya Soweto ya Afrika kusini kati ya...
13 Reactions
21 Replies
3K Views
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama. Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid. Ninajiuliza...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Mtu kama huyu hawezi kuja kuiacha Yanga. Biblia inasema. ".......angali bado mdogo naye hataiacha hata siku za uzee wake."
1 Reactions
2 Replies
469 Views
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka chanzo kinachoaminika kwamba SUPU DAY ya leo ni ukamilishaji wa maelekezo ya mganga wa yanga ambapo baada ya ushindi wanatekeleza maagizo hayo kwa jina la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Klabu ya Soka ya Yanga Sc, imeandaa sherehe fupi ya kuburudika na mashabiki wa Klabu hiyo kwa kunywa supu makao makuu ya Klabu hiyo yalioko Kariakoo mtaa wa Jangwani Akizungumza na waandishi wa...
12 Reactions
72 Replies
4K Views
Naandika kabla ya mechi ya fainali, Wana kocha bora kabisa ADIL RAMZ ambaye amewahi kuwa kocha msaidizi AJAX ya amsterdam, Wana mawinga viberenge wanakimbia kwa kukata upepo, mabeki hatari...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na...
14 Reactions
18 Replies
2K Views
MPIRA WA TANZANIA UMEJAA WATU WAJINGA - JEMEDARI Hivi yupo mtu anafikiri kwamba Mangungu akiondoka ndio timu itacheza vizuri?. Sifikiri hivyo, ni kauli aliyoanza nayo mchambuzi na mdau wa soka...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W). Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil. Mwaka jana mwezi...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama kuna Kitu ambacho GENTAMYCINE ninawapongeza Yanga SC kwani Wamekiweza na Kinawasaidia mno ni Kupenyeza Watu wao HATARI ndani ya Simba SC (tena Jikoni kabisa) halafu Waliopenyezwa nao kuwa...
13 Reactions
138 Replies
11K Views
Back
Top Bottom