Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.
Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.
Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.
Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.
Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao. Ni kama wamemuua Goliath.
Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika.