Atlético Madrid wanatarajiwa kuwa wageni wa Arsenal katika uwanja wa Emirates, kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League, mchezo utakaopigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika...
https://youtu.be/dytqapjk4Qw?si=8FYtt5wPiJNBozBu
Kwa mujibu wa mitandao hilo ndio goal la Puskat kwa mwaka jaza. Ukilinganisha goal la Chama ni hatari kuliko hili...
Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani.
TFF sio wajinga kuweka...
Tofauti ya mashabiki wa kolo na wananchi ni hii..
Makolo wamesubiri huu ushindi kwa mda mrefu sanaaaaaa ila tangu juzi washinde sijaona shabiki yoyote Wala wachambuzi wa makolo wakiwasifia...
Match Day
Kariakoo Derby
Vikosi VINAVYOANZA.
Updates...
Timu zote zimewasili tayari kwenye Uwanja wa Mchezo. Major Isamuhyo Mbweni...
Kikosi cha Yanga kimegoma kuingia kwenye vyumba...
Ushamba na umaskin ..unaweza kua na hela ukawa mshamba tu. Kila anaejua Mpira anafaham majukumu ya beki mzuri wa kimataifa, kila mtu anajua pale kulikua na utelezi sababu ya Hali ya uwanja na mvua...
Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu...
HATIMAYE Kocha maarufu kutoka Marekani, Austin Pillado ambaye pia ni Naibu Kocha Mkuu wa timu ya kuogelea kutoka Chuo Washington State, ametua nchini jana Jumapili kwa ajili ya kuendesha kambi...
Baada ya mapumziko ya muda katika michezo ya ngazi ya klabu katika mataifa mengi hasa upande wa Ligi Kuu, Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuendelea leo Jumanne Aprili 1, 2025 kwa mechi tatu...
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Baba Levo, ametoa ushauri kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwekeza zaidi katika maendeleo ya timu ya taifa, hususan kwa kuwajengea uwezo...
Huo NDIO ukweli.
Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni.
Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na...
Mwanasoka wa zamani wa Chelsea, Galatasaray na timu ya taifa ya Ivory Coast ametua jijini Dodoma na kuelekea bungeni ambapo ni mualikwa wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Drogba...
Mnyama anaunguruma Zanzibar, Dabi ipo pale pale hakuna kukimbia
Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 inatarajiwa kuzikutanisha Yanga dhidi ya Simba, hiyo ni baada ya Simba kuitafuna Mlandege Magoli...
New to Betway? Use these official Betway signup codes to unlock your welcome bonus across Africa. Each country has a unique voucher code that activates the 100% first deposit match + free bets...
1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ?
2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo !
3.fedha za...
Macho yote leo yako Manchester United na Liverpool watakapokutana katika dimba la Old Trafford kwenye mchezo wa English Premier League.
Huu ni mtanange wa kihistoria wenye ushindani mkubwa, kila...
Hizi ni za ndani kabisa kesho mechi ya Simba na Yanga iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa Meja Isamuhyo ipo kwenye hati hati ya kutochezwa.
'Updates' zitakuja hivi punde au kesho asubuhi.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally, ameibua ameitaka klabu ya Yanga kurejesha kiasi cha shilingi milioni 40 serikalini, akidai kuwa klabu hiyo imepokea kiasi kikubwa cha...