Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wale mnaobeti Mechi ya Kigoma leo wekeni katika Sare ya Magoli au isiyo na Magoli (Suluhu) au Simba SC inafungwa na Mashujaa FC. Kuna Watu wanadhani kwakuwa Kocha Julio ni Mwanetu basi...
2 Reactions
13 Replies
356 Views
  • Redirect
Yap Yap ni Leo, Mei 14 2026 Simba ndani ya Msitu mzito wa Sokwe Aina ya Mashujaa FC, Mashujaa wamejiapiza kuikaanga Simba siku ya leo huku Simba wakiweka wazi kuwa kilichowapeleka Kigoma ni alama...
1 Reactions
– Replies
– Views
Mpaka sasa hv mtani miguu imekosa nguvu ya kuamka..kalainika vibaya sana!!!! Salamu zimfikie ngara (NALIA NGWENA)
1 Reactions
1 Replies
123 Views
Siku zingine muwe mnakosoa kabla ya Mechi kuchezwa na siyo kusubiria Vipigo ndipo mje Kukosoa ili kutafuta Sifa na kujifanya mnayajua mengi yanayoendelea. Kufa ni kufa tu. Mlipeni Mganga wenu!!!!!
1 Reactions
1 Replies
171 Views
Kuna wakati kulikuwa na ubishi nani mkali kati ya dogo Sisko(jini) na Ronaldo (mwanasayansi) kiukweli kwa kipindi kile angalau angalau angefurukuta ila alikuwa kila akiwekewa dau acheze naye...
5 Reactions
53 Replies
1K Views
Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na...
7 Reactions
7 Replies
345 Views
Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo. Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli. Hivi timu kubwa...
3 Reactions
14 Replies
515 Views
Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa. Simba huwa inaanza...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Unangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika...
11 Reactions
48 Replies
1K Views
Uthibitisho huo umebainishwa na. shirikisho la soka la Nchi yao la TFF Ndio maana hata mechi kubwa za Nchi yao hawapewi NAKALA: MOTSEPE
6 Reactions
18 Replies
365 Views
Kama siyo uhusika WA moja Kwa moja basi Uchawa umeingia michezoni rasmi.
1 Reactions
14 Replies
474 Views
Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri. Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
11 Reactions
48 Replies
1K Views
Au mnasubiria mechi za kesho?
4 Reactions
8 Replies
226 Views
Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kuzuka tena kwa ugomvi mkubwa kati yake na mwenzake Aurelien Tchouameni, hali iliyoanza wakati wa mazoezi ya timu siku...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Sio hari,eti timu ina hari,sio hari ni ARI
3 Reactions
5 Replies
313 Views
Yanga wapo Mbele hadi sasa wakiwa wamefunga magoli matatu. Magoli mawili yamefungwa Okello na goli moja limefugwa na Max Mpia Mechi bado ipo live Yanga wanaendelea na ubabe kwenye ligi kuu ya...
3 Reactions
6 Replies
278 Views
Back
Top Bottom