Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai. Simba...
1 Reactions
2 Replies
206 Views
  • Poll Poll
Kama mshabiki wa Man Utd ni kiungo gani ungependa Man utd isajili next season?
2 Reactions
25 Replies
300 Views
Je, kuna uwezekano wa Simba kutwaa kombe lingine zaidi ya hili la muungano? Kama upo, niambie ni lipi
2 Reactions
7 Replies
307 Views
Mkenya ameona penati halali kabisa, soote tumeona hivyo. Mkenya kaweka tuta bila kujali ni dakika ya ngapi Ila hawa marefu wetu wakubemba wangepeta hiyo, kwa sababu kanuni zake za kipuuzi...
6 Reactions
16 Replies
495 Views
Ukitaka kuzitaja hizi timu mbili kwa pamoja utakuta automatically ina sound kuanza na Simba kisha Yanga. "Simba na Yanga"
3 Reactions
21 Replies
534 Views
Ameongea Haji Sande Manara kuhusu mchezo wa Jana Fainali ya Muungano kwa kocha wao wa yanga. “Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo,tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni...
2 Reactions
7 Replies
433 Views
Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba. Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge.. umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Kwakuwa Kiufundi na Kiuwezo kamwe hatuna uwezo wa Kumfunga Yanga SC nashauri katika kuondokana na Aibu za Kufungwa Derby Mbili (kama Simba Sports Club) itatinga Fainali ya Kombe la Muungano...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Atletico Madrid wanatarajia kuikabili Arsenal kwenye dimba la Riyadh Air Metropolitano, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika...
2 Reactions
49 Replies
985 Views
  • Poll Poll
Patashika kali inatarajiwa usiku wa leo, wakati Paris Saint-Germain watakapoikaribisha Bayern Munich kwenye dimba la Parc des Princes, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions...
2 Reactions
115 Replies
2K Views
heirry Henry speaks on PSG vs Bayern Munich score line 5:4 "Listen, we need to have a serious conversation about what we are watching. For the fans, of course, it’s exciting, nine goals...
9 Reactions
34 Replies
798 Views
Huu utaratibu umeanza miaka ya hivi karibuni, majayanti wawili, Simba na yanga kuwa na utaratibu wa kutoa sadaka pindi tu wanapokutana. Sadaka ni jambo jema, kwa nini isiwe kwa michezo yote? Wajuzi 👇
1 Reactions
4 Replies
198 Views
Jana usiku mechi ya Klabu bingwa ulaya PSG vs Bayern ilikuwa ya kusisimua na kuleta gumzo kwa mashabiki wa mpira duniani. Mechi hiyo inafanana na mechi iliyochezwa 2004 kati ya Manchester United...
4 Reactions
8 Replies
279 Views
Kabla ya Mechi ya Yanga SC.....Mashabiki hutamba na kuwa na nyodo nyingi huku wakijiamini kushinda Mechi ikiwa inaendelea Uwanjani....Mwamuzi (Referee) anatuumiza, hatupendi, anaibeba Yanga SC na...
2 Reactions
5 Replies
290 Views
Mimi sio msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya michezo lakini nikikuta Wastara Msese wa EATV akiwa ana host kipindi lazima nisikilize hadi mwisho. Wastara ana charisma kwenye angle hiyo na...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Sifuatilii sana Ligi kuu yetu ila kwa hii rekodi, Yanga hana wa kufanishwa nae, na wanaweza kuweka rekodi mpya kushinda mara 7 mfululizo hadi 2028
0 Reactions
7 Replies
291 Views
Uwanja wa Benjamin Mkapa ukiendelea na ukarabati kuelekea mashindano ya AFCON 2027, mafundi wanaofanya kazi hiyo wamekufukua vitu vya ajabu vinavyodhaniwa kuwa vya kishirikina. Vitu hivyo...
0 Reactions
33 Replies
574 Views
kwa huu msimamo hii timu inapaswa iwe chini sana. kwenye wanasema number don't lie lkn hapa namba zinadanganya
1 Reactions
7 Replies
225 Views
Back
Top Bottom