Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Alitoka Azam. Azam ikiwa mbovu sana. Aliua makipa kwa mazoezi yasiyo na vipimo. Alipopewa Timu nilisema mno Kama toka aje Makipa viwango vinakufa kwa mazoezi mengi. Toka Aly Salum, Ayou na...
1 Reactions
8 Replies
805 Views
Kwa yanayoendelea Simba, hakika kama siyo utani wa jadi tungeweza kuwaalika(kuwakodi) mashabiki wa Yanga kwajili ya kutuondolea wanao cheza na akili za mashabiki wa Simba. Kwanini nasema haya...
0 Reactions
2 Replies
330 Views
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki...
24 Reactions
103 Replies
5K Views
Sisi wakazi wa bunju tunaomba utuwekee bango letu la matokeo ya mechi yetu kati ya Belouzdad na Yanga pale mlipoweka bango la mwanzo. Pia msiwasahau na wale watu wa manzese pamoja na marudio ya...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Mpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno! Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast. Mechi hii itaanza...
14 Reactions
749 Replies
54K Views
Ukiangalia kikosi chao cha leo dhidi ya timu dhaifu. Lakini bado uchezaji wao ni uleule hakuna maajabu wala nyongeza yoyote kwenye kikosi cha makolo. Sajili mpya zote zimeshindwa kuonyesha kile...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Anaitwa G. Phoko Huyu ndio kachangia kuwalaza na viatu wydad Wana simba mmejioanga ??
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Tutaonana mwakani ndugu zangu kwa sababu hamna maarifa.Mnaoroga wachezaji ili waonekane hawajui mpira, ionekane usajili haukuwa mzuri ili mpige hela tena, mnaroga wachezaji ili wachukiwe na...
3 Reactions
7 Replies
759 Views
Na mlivyo wa hovyo mlidhani Cognizant "Think Tank and Adorable Angel" hili Tukio lenu mlilolifanya kwa Siri Kubwa sitolijua na kupata Taarifa yake kwa Kina? Ukweli ni kwamba 75% ya Mashabiki wa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwekezaji Ni Dewji na Viongozi wako / wenzako akina Salim Abdallah Mhene 'Try Again", Murtaza Mangungu na CEO Imani Kajula upesi sana kaeni Kitako na Wachezaji wa Simba SC myamalize kwani Upuuzi...
4 Reactions
12 Replies
801 Views
Huyu Mwenyekiti ajitathmini na afanye maamuzi ya kupumzika uongozi, kutoka na upepo unavyoelekea atapata wakati mgumu Sana. Mangungu aachie ngazi kwani Hali ya timu siyo nzuri
2 Reactions
8 Replies
765 Views
Ukweli usemwe japokuwa ni mchungu, hamasa imekua kubwa sana katika kuwahamsisha mashabiki wa Simba sc lakini mwitikio sifuri. Zimesambazwa tickets za bure kwenye matawi, viongozi wa Simba sc...
15 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari wapenda soka wenzangu, naam nianze kwa kusema Mpira wetu kivyetu vyetu, ndio naweza kusema hivo. Jana Simba amecheza Match ya CAF Champions League walichokiona Viongozi na wapenda Mpira ni...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Siku moja nikiwa naangalia Soka pale Gentlemen Sports Lounge (Sinza) huku najipongeza kidogo baada ya mihangaiko ya hapa na pale, nilimsikia jamaa mmoja meza ya pembeni akisema "Hii siyo Simba...
4 Reactions
5 Replies
793 Views
ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jambo Afande. Heshima yako mkuu Kama nilivyotanguliza salam hakika unastahili pongezi za dhati kabisa katika utendaji wako wa kazi hakuna atakayebisha kwa Hilo na hata Kama akitokea wa kubisha...
2 Reactions
7 Replies
811 Views
Mpira unachezwa kichwani kwa mchezaji. Matokeo mabaya uwanjani yanaanzia kichwani na yanarudi na kuishi kichwani kwa mchezaji. Wachezaji hawana kazi nyingine, kazi Yao ni mpira TU na Wana malengo...
2 Reactions
0 Replies
627 Views
Habari. Jumamosi Novemba 25 pale Benjamin Mkapa stadiamu itapigwa mechi kati ya Simba vs Asec. Iwapo Simba watapoteza mechi hii, basi msimu huu mambo yatakua yameharibika na kuisha kabisa...
3 Reactions
4 Replies
684 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…