Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua Simba Queens kama washindi wa ngao ya jamii 2023! Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni dharau kubwa. Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu ukweli usemwe hata kama ni mnazi wa club husika, Kwa usajili wa kocha Benchikha kuja Simba naona ni hasara au kutumia pesa vibaya japo in anyway sihusiki kumlipa Hakika hii ni hasara kubwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Huwa inatokea na itatokea kesho! Nimeweka akiba ya maneno!
1 Reactions
6 Replies
848 Views
Kwenye vilabu bora hayupo Bingwa wa Shirikisho ambaye ndo huyo huyo bingwa wa Super Cup Africa (USM Algiers). Lakini kwenye makocha 3 bora kocha wao yupo. Vigezo gani wameangalia hapo? Sent...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Timu ya Singida Fountain Gate imefanikiwa kunasa usajili wa beki wa pembeni matata kutoka timu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Kijana huyo ambae alikuwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Medeama, uongozi wa klabu ya Yanga umeliandikia barua Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) KULALAMIKA uamuzi mbaya ulioonyeshwa na mwamuzi aliyechezesha mchezo...
10 Reactions
77 Replies
6K Views
Mshika remote wa vichwa vya fans wa Yanga tunaomba uwaset Uto wajadili bila jazba na matusi
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside? Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika? Kwa maneno...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wake Gael Bigirimana. Awali mchezaji...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam Wana JF Kama expert wa soka naona ni Bora Kwa timu ya Simba kuwekeza nguvu zote kwenye kombe la mapinduzi litakalofanyika January kuliko kuendelea kukupoteza muda kwenye champions, ambako...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Wydad Umepigaje Hapo? Kipindi Cha Pili Sub ya kuingia Chama,Phiri,Miqqusone na Mzamiru ilikuwa na maana hii 1.Kuongeza Kasi kwenye eneo la mwisho labuwanja(zone C) 2.Kuongeza ubunifu (Chama)...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Haipiti siku bila kuona watu wameivaa hii jezi, naona imeuzwa sana, kwanini?
10 Reactions
36 Replies
3K Views
NALIA NGWENA huwa sipendi kupepesa macho katika Jambo la ukweli. Yanga Sc inaviungo wengi wakabaji na ninadhani kwa pale Yanga ndiyo eneo lenye viungo wengi. Namba 6,8 Kuna Khalid Aucho, Sureboy...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kuwa mrithi wa kiti kilichoachwa wazi na Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Kabla ya kutua mitaa ya Msimbazi Kocha Benchikha ambaye ni raia wa...
17 Reactions
142 Replies
12K Views
Ni ushauri tu kwa Wazee wenzangu, Boko, Chama, Saidoo na wengine. Ni heri kuuwahi wakati kabla wakati haujakuwahi. Embu igeni ya Onyango. Alipoona Mwili unaanza kukataa akaomba mwenyewe thank you...
3 Reactions
1 Replies
454 Views
Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa. Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia Hii mbinu anaitumia Mamelodi...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Your nominees for Club of the Year (MEN) award are here! #CAFAwards2023 ============ Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza Timu za Taifa, Vilabu na Wachezaji wanaowania tuzo hizo mwaka...
15 Reactions
329 Replies
17K Views
Skudu Makudubela, huyu jamaa alitangazwa kwa mbwembe kuliko wachezaji wote wapya waliosajiliwa Yanga msimu huu, bado ni majeruhi au hapati nafasi kazidiwa ubora? Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni siku ya Jana katika mechi ya Ankagurcu vs rizespor. Aliongeza mda mrefu na kusababisha wapinzani kusawazisha. Maamuzi yenye ukakasi na wanayolalamikiwa sana marefa huenda yakaleta madhara kama...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
[emoji3520]TANZIA[emoji3520] Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…