Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hii ndiyo kauli mbiu bora kabisa kutoka kwa mjangwani mwenzetu. Hakika tunaenda kuwagaragaza simba hawa wa manjano pale kwa mkapa. Karibu tuburudike. Dominika njema!
2 Reactions
3 Replies
557 Views
Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustaili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON au mpaka tutenge kodi za mama ntilie ili zikashibishe matumbo ya watu?
1 Reactions
8 Replies
861 Views
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua...
32 Reactions
204 Replies
10K Views
Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:- "Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Hii inadhihirisha wazi kuwa mashabiki wa Simba sio kina pangu pakavu tia mchuzi. Tunajitambua, Simba nguvu moja.
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Nitumie nafasi hii kumpongeza kiungo wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kuitungua Utopolo goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani (Yanga SC) uliopigwa juzi...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari zenu wadau! Japo sijawahi kumwambia yeyote, ukweli ni kwamba mara kadhaa nimekuwa nikiota ndoto kuhusu mambo mbali mbali ambayo mengi hutimia kama nilivyotabiri kwa sababu ukiachana na...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Uwanja wa Mkapa ni uwanja mzuri sana wenye sifa zote za kimataifa. Kinacghotia aibu ni pale mchezaji anapoumia, basi jamaa wa first Aid humbebva kwa machela, jambo ambalo ni la kizamani sana na...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Saana, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amedai sababu moja wapo ya kujenga Uwanja wa Michezo unaochukua watu 30,000 mkoani Arusha ni kuwa kwa wastani katika mechi...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
#KIPENGA: ''Kwenye eneo la ulinzi ni eneo ambalo Aubrey Modiba kutokea Mamelodi anacheza na kitu ambacho Aubrey Modiba anamzidi Bacca sijakiona kwa sababu Bacca amekuwa na muendelezo mzuri wa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Japo huu usemi wa "... Kwao kama kwetu". [emoji196][emoji196] wameiga kutoka kwa Mashujaa fc, sio mbaya [emoji23], naona utawafaa sana kukusanya buku 2 za kubet kutoka kwa [emoji196][emoji196]...
1 Reactions
11 Replies
705 Views
Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
KADUGUDA: SIMBA INA SAJILI WACHEZAJI WA NDONDO Mwanachama Mwandamizi wa Simba SC na aliyewahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Simba Mhina Kaduguda ametoa maoni yake kuhusiana na namna Uongozi wa Simba...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
"Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
13 Reactions
46 Replies
3K Views
Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe. Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Klabu ya Real Madrid inadaiwa kuwa inamfuatilia beki wa pembeni wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25) ambaye amekuwa tegemeo katika kikosi ch Liverpool tangu Mwaka 2016. Mkataba wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu! Kuelekea Robo Fainali Tarehe 30 pale kwa mkapa hebu tuchukue hii kwanza... Wakati macho ya wengi wakipiga hesabu za Themba Zwane, Teboho Mokoena, Peter Shalulile, Marcel Arende...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom