Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana Ugomvi wetu na...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakati tunazungumzia mechi ya Yanga na Mamelodi siku ya jumamosi tusisahau pia Simba ni timu yetu nayo inacheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika siku ya ijumaa. Tuzipe umuhimu sawa maana zote...
6 Reactions
17 Replies
992 Views
Wakuu naomba kufahamishwa hii app inaitwaje? Ni app kwaajili ya habari za michezo au ni kwaajili ya kununua tiketi pekee?
0 Reactions
3 Replies
468 Views
The UEFA EURO 2024 final tournament is scheduled to take place from 14 June to 14 July 2024. As the host nation, Germany are seeded in Group A and will occupy position A1; they will therefore play...
1 Reactions
6 Replies
921 Views
Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣 Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m...
1 Reactions
14 Replies
888 Views
Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni. Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Tuwekeane list ya timu ambazo kufunga kwao ni uhakika na kushinda kwao ni uhakika: liverpool, manchester city, bayer leavekus, young africa,beyarn munich, kwa wale wazee wa kubet hizi ndio timu...
1 Reactions
14 Replies
697 Views
Viongozi wa SImba endeleeni kuhamasisha mashabiki kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa kwa sababu hao hao mashabiki wetu watakaokwenda Ijumaa kuangalia show ya kibabe yenye kiingilio ndio...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Vichwa ngumu sana hawa majamaa! [emoji38]
2 Reactions
6 Replies
526 Views
Hakika mwaka jana (2023) ulikuwa mwaka mzuri sana kwenye upande wa boxing ,tulishuhudia mapambano ya kukata na shoka, linatoka hili linakuja lile, mfano Terence Crawford vs Errol Spence, Gervonta...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39..... Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003. --- Beki wa zamani...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Kila kona ya nchi na Afrika kiujumla habari ni kuhusu Yanga na mamelodi. Mara utasikia unamjua Zwane? Unamjua Peter Shalulile? Mara utasikia Mokoena atawafanya mbaya, mara hujakaa sawa utaskia...
0 Reactions
3 Replies
419 Views
Mpira wa miguu una mambo mengi tena mara nyingine unaweza kushangazwa zaidi na mambo ya ajabu yanayotokea viwanjani na kulazimika mechi kusimama kwa muda. Hutokea wachezaji wakiwa wanapambana...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Simba moyo unataka kucheza nusu finali lakini quality yao inakataa katakata na wana mashaka nayo. Tumaini lao kuu huwa wanalielekeza kwa kocha Benchikha kwakuwa anao uzoefu mkubwa wa kucheza hizi...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari wakuu, Tuanzie hapa, " Haina maana ya kufanya defense, mpira ni mchezo wa burudani inayovutia mashabiki. Tunaenda kucheza mpira kama ilivyo kawaida yetu. Tunaiheshimu Yanga, hivyo...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Siku ya Tarehe 29 Mwezi huu wa March 2024, Timu ya Simba itatupa karata yake ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa mechi za robo fainali dhidi ya miamba ya soka Afrika, Al Ahly Sporting kutoka nchini...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Marafiki zangu Wakubwa akina Bhinda na Kampira wa Yanga SC tusije tu Kulaumiana Weekend hii. Kesho Jumatano tarehe 27 Machi, 2024 ni BIRTHDAY yangu GENTAMYCINE hivyo natoka huku Makao Mapinga...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7. 1. Moroccan Botola Pro 2. Egyptian Premier League 3. Algerian Ligue 1 4. South African...
6 Reactions
44 Replies
10K Views
Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa...
13 Reactions
125 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…