Leo Aprili 8, 2026, mashabiki wa soka nchini wanatarajia kushuhudia pambano kubwa la kusisimua kati ya Pamba Jiji FC na Yanga SC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huu utapigwa katika...
Shauri la Simba SC dhidi ya Damaro na Yanga SC limesikilizwa Aprili 2, 2026 katika Ofisi za TFF, Karume Ilala Jijini Dar es Salaam, ambapo Mwanasheria wa Klabu ya Simba, HOSEA CHAMBA amesema...
Kufuatia kufanya vizuri kwa Arsenal msimu huu , maana yake ni moja kwa moja timu itakayomaliza nafasi ya 5 itacheza UEFA msimu ujao
Top 10:
1️⃣ Arsenal – 70 points
2️⃣ Man. City – 61 points
3️⃣...
Usiku wa leo mashabiki wa soka duniani wanakutana kwenye burudani ya hali ya juu ya Klabu Bingwa Ulaya
Real Madrid 🆚 Bayern Munich
Sporting CP 🆚 Arsenal
Je, nani ataweka mguu mmoja nusu fainali? 🤔
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema Sana Humu jukwaani na kula sehemu hapa Nchini kuwa Rais Samia ni Chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa Hapo Alipo kwa kibali maalumu cha...
Mbio za kuendelea kuifukuzia Yanga katika nafasi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa Azam FC na Simba baada ya timu hizo kugawana pointi moja kila upande kutokana na matokeo ya...
Kwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi
1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k
2)Bajeti kubwa ya...
Timu ilianza kwa kas ikishinda mechi mbili mfululizo kwa kuwabonda wakenya na wasouth afrika
Baada ya kuona hvyo wanasiasa wakaanza kujitokeza ili kutafuta umaarufu wa kisiasa wenyewe sijui...
In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position.
For example:
In football...
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Victor Wanyama, ametangaza kustaafu soka la ushindani, baada ya kucheza vilabu sita vya kimataifa, ikiwemo Southampton, Tottenham...
Yanga imefanikiwa kuichakaza Tanzania Prisons Magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam, hivyo Yanga imeendelea kuongoza kwa kuwa na alama 41 katika...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) linaripotiwa kufikiria kuahirisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 hadi 2028 kutokana na wasiwasi wa utayari wa miundombinu na marekebisho...
Waziri wa michezo bwana Paul Makonda amesema kuwa kuanzia mwakani ataanzisha ligi ya wachezaji wa ndani tu kama ilivyokuwa michuano ya Afrika (CHAN) iliyohusisha wachezaji wanaocheza ndani ya...
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetangaza kuwa itatoa uamuzi wa rufaa ya Senegal "haraka iwezekanavyo" kufuatia hatua ya nchi hiyo kupinga kuvuliwa taji la Mataifa ya Afrika (AFCON)...
Timu ya kikapu ya Dar City inaendelea kufanya vyema huko Pretoria Afrika kusini katika mashindano ya kikapu Afrika Ukanda wa Kalahari.
Timu hiyo imeshinda mchezo wake wa pili mfululizo kwa...
Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh...
Betting Codes
Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka...
Binafsi naipenda Simba na naipenda Yanga.
Mimi naona Yanga sio opposite ya Simba kwamba ukipenda moja unaichukia nyingine, bali Simba na Yanga zote ni timu za soka ambazo zinafanana uwezo kwa...