Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu...
Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha Zambia kufuzu Olympic 2024 Paris.
Wadau hamjamboni nyote?
Barbara Banda mchezaji timu ya Taifa Wanawake Zambia amepandishwa cheo na Jeshi la...
Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa...
Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL.
Africa ujanja ujanja kila sehemu
Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape...
Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia...
Mods naombeni muuache uzi huu, jukwaa lamichezo limejaa wadau wanaofatilia zaidi michezo ya kigeni hasa mpira wa miguu
Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia...
Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari.
Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia...
Kuna vyombo vya habari mbalimbali vimeripoti kuwa Legend wa Team ya TP Mazembe na Team ya Taifa ya Zambia Chipolopolo Rainford Kalaba amepata ajali mbaya ya Gari na amepoteza maisha.
Msemaji wa...
Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile?
1. Tangazo halina vibe lolote.
2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo...
Wakati Klabu ya YANGA inalalamika kutolewa kwenye Robo Fainal na Klabu ya MALELODI ya Afrika ya kusini kwa kudai kuna Upangaji wa Matokeo
Leo ktk Mchezo wa YANGA vs SINGIDA kumetokea Tukio la...
Hili neno ndio limeshusha morali ya wana Simba kuanzia wachezaji paka mashabiki wao.
Kuanzia kupangwa droo ya robo fainali klabu bingwa Afrika na kufahamika ya kwamba Yanga atapambana na Mamelodi...
Kablu ya Singida Fountain Gate imesikitishwa na kitendo cha gilikipa wao Beno Kakolanya cha kutoroka kambini muda mchache kuelekea game yao dhidi ya Yanga.
Singida wanakichukulia kitendo hicho...
Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga.
Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga...
Tumeshtuka huyu ni pandikizi lililowekwa na kiongozi mkubwa mmoja mstaafu ili aidukue Simba kwenye mechi zake na Yanga.
Huyu mzee ni jeuri na haumizwi na matokeo ya Simba.
Mwenzake "jaribu tena"...
Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji.
Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
Naam! Magazeti na Redio havimuimbi kwa kuwa vimefunikwa na mahaba ya Simba na Yanga.
Ila kwa wapenda football Kama NALIA NGWENA watakuja kutoa ushuhuda hapa kuwa Kipre Junior ni talented boy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.