Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Tulimpa chaguo la kuondoka msimu wa joto lakini hakupata timu. Tulijaribu chelsea wakakataa, Ac milan wakakataa. Tukamwambia atafute timu lakini hakupata, anazungumzia heshima gani?" "United...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Ondoa haraka sana wachezaji hawa dirisha dogo. 1.Jimmyson Mwinuke 2.Gadiel Michael 3.Erasto Nyoni, 4.Jonas Mkude 5.Sadio Kanoute 6.Peter Banda 7.Victor Akpan 8.Nelson Okwa 9.Mohamed Quattara...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
Kocha kakanwa kabla jogoo hajawika. Mwingine kateuliwa kabla giza halijaingia, hili linaleta sintofahamu kuhusu hii skenfldo ya madawa ya kulevya. Serikali ichunguze kwa makini sana kuna shida...
15 Reactions
57 Replies
2K Views
Jina: Chlouha Zakaria Utaifa: Morocco Kwa mujibu wa taarifa ambazo hazijathibitishwa na Uongozi wa Simba SC, kocha Chlouha Zakaria anaweza pia kuhudumu kama kocha wa viungo. ===== Kocha huyo...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Habari za muda huu ndugu zangu, Nmekuja hapa mbele zenu kama shabiki lia lia wa Azam FC. Hii timu naipenda, inaongozwa kisomi sana, na haina uswahili wa kijinga japo kidogo imeegemea kwenye udini...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Wapenzi wa Simba habari zenu, Leo naomba niwachane makavu kuhusu iki kituko mnachokisifia kisa kutokucheka, sijui Putin. Aisee huyu mchezaji ni wa kawaida mno kiasi kwamba ukimpeleka hata KMC...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwanza kabisa kama ikiwapendeza FIFA kwa mwaka huu World Cup isifanyike maana wananchi washamaliza burudani yote. Hivi tutarajie kuona nini kingine kutoka kwa kina Messi, Neymar, Mane, De Bruyne...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Enzi niko sekondari nilikuwa napata marks za juu somo la English ila kuongea ilikuwa shida. Sasa huyo kumwembe nimefuatilia makala zake kwenye mitandao na gazetini yuko vizuri. Sababu inaonekana...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Mjumbe hauawi, nawajulisha viongozi wa Simba kuwa Namungo ikiwa na kocha msaidizi, beki wa zamani wa Yanga anayefanana sana na Karim Mandonga mtu kazi, Shadrack Nsajigwa maarufu kama Fuso ambaye...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Ukiunganisha matukio, kuna haja ya kuchunguza hili suala kwa mapana. Mengi yamejifunika
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Beki wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger ameanza kampeni za mashindano ya kombe la dunia kwa staili ya kipekee, baada ya kuagiza fedha zote atakazolipwa Kombe la Dunia...
2 Reactions
11 Replies
752 Views
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Kagera Sugar na Yanga Sports Club utakaochezwa saa 10 jioni Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Huu ni mchezo wa namba 46 (kama...
4 Reactions
296 Replies
16K Views
Kulikuwa na wimbi la kuziumiza baadhi ya timu na kuzinufaisha Simba na Yanga pekee, sasa nawapongeza waamuzi kwa kusawazisha mzani. Kama ni kubeba tuwabebe wote, kama siku hizi mnavyotupa penati...
3 Reactions
8 Replies
422 Views
  • Redirect
Simba Vs Namungo Leo...tunawekaje mkeka?
0 Reactions
Replies
Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (katikati) akirusha mpira juu kuashiria kuanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam na Unguja (Wanawake) wa mashindano ya CRDB Bank...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi sio mgeni na soka la nchi hii, nazijua siasa zake vzr kwa sababu nimeanza kwenda uwanja miaka 1989, kwahiyo hakuna mtu anaenisumbua kwa siasa za soka hapa bongo had shirki. Ni kwamba...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu wenye uelewa mdogo na masuala ya utawala wanapotosha mambo, siyo kwamba wametumwa hapana, shule ni ndogo sana. Mwarami Mohamed alikuwa Kocha wa Makipa wa Taifa Stars, wakati huo kocha akiwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Makolo hawapo povu ruksa
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Muda huu kuna press ya kutoka club kubwa kongwe Tanzania, aka mabingwa wa kwanza baada ya Uhuru wa Tanganyika. Inavyohisiwa ni kusafisha Hali ya hewaa kwani wingu limetandwa na rainbow. Sisi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom