Kuelekea mchezo mkubwa wa Watani wa jadi (Kariakoo Derby) kati ya Yanga na Simba, bodi ya ligi imetangaza viingilio katika mchezo huo utakaochezwa 20/04/2024 katika dimba la Taifa Benjamini Mkapa...
Ukiwaangalia yanga Ligi kuu ni kama barca ile ya Moto kabisa. Ya richcard. Aziz ki anakuwa kama gaucho. Pakome ni inesta mtupu, Mzize ndio Eto, mwamnyeto Puyo. Akina nzegeli nddio usiseme...
MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE...
ROBERTINHO ANA ENJOY TU!
Kufuatia draw walioipata Simba dhidi ya ihefu Jana robertinho aliyekuwa head coach wa 5imba amepost picha yake ikisindikizwa na Yanga anthem (Watoto wa Jangwani)
Kupitia...
Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league
Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu...
Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani.
Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani...
Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible.
Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na...
Siyo Siri Tena usajili wa Jobe &Fred huu ni usajili wa mtu kati (wazee wa 10%) na siyo maagizo/mahitaji/matakwa ya kocha Bali ni wachezaji wa kikundi Cha viongozi pale Simba sc.
Alichokifanya...
Ninajua wapo wengi wanaowaza kama mimi. Kuna tatizo pale Simba halijapatiwa ufumbuzi.Wachezaji kucheza chini ya kiwango,kutojitoa ama kuumia wakati muhimu wakihitajika sana na timu.
Tumeona timu...
Wadau kero yangu ni kuhusu tiketi za VIP B zinakatwa kupitiliza idadi/uwezo wa jukwaa hivyo kupelekea mashabiki kusimama kwa kukosa nafasi. Kila ninapokuja hapa hasa zikicheza hizi timu kubwa...
Simsemi kwa ubayaaaaaa
Mpwa huyu ajawahii kuwaacha makocha WA kigeni SALAMA kamweee
Hii post ya 3 na kama SIMBA wanataka kudonga MBELE wasahauu MATOLA KWENYE bench
Sioo kwa nia mbaya...
Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda...
Baada ya makolo fc "Ubuntu botho bin mbumbumbu" kupata sare katika mchezo wao wa Leo dhidi ya ihefu, hali ya sintofahamu imeibuka katika kambi ya timu hilo la mahayawani.
Hili limekuja baada ya...
Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco.
Mohamed Hussein ni mkongwe ndiyo, Lakini sidhani Kama ana nguvu kubwa ya ushawishi kwa...
VIONGOZI WA SIMBA WANAONEANA AIBU
Moja ya Kitu Kinawagharimu SIMBA Ni Kushindwa Kufanya Maamuzi Magumu kwa Kuoneana Aibu, Kuangaliana Usoni.
NB..! Hawapo Klabu Bingwa, Hawapo Kombe la FA...
Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze.
Sasa...
Kuna Wapumbavu wanataka Kuwaangushieni Zigo la Mavi ( Nnya ) pale Timu ikifungwa basi Lawama zote zielekezwe Kwenu wakati GENTAMYCINE nina uhakika kuwa Adui namba moja wa Simba SC yetu ni...
Katika Hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Yanga ... maarufu kama wananchi mtandaon wamefurahia timu yao kupigwa rungu la usajili ambapo ingekuwa timu nyingine wangeanza kilio
Hizi ni baadhi ya...
Nikiwa shabiki kindakindaki wa Simba, kwa mpira wa Yanga waliocheza Jana na Belouzedad na nikiangalia Simba wanavyocheza nadiriki kusema kuwa tano zingine zinatuhusu
Simba na Belouzedad hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.