Ushauri: Ubuntu botho iendelee paka ligi itakapoisha

babu onyango

JF-Expert Member
Jan 12, 2023
358
909
Hili neno ndio limeshusha morali ya wana Simba kuanzia wachezaji paka mashabiki wao.

Kuanzia kupangwa droo ya robo fainali klabu bingwa Afrika na kufahamika ya kwamba Yanga atapambana na Mamelodi Sundown, kila mwana Simba alikuwa akilitamka neno hili. Yani ilikuwa ni Ubuntu Ubuntu botho, Ubuntu botho, ubuntu botho, Ubuntu botho Ubuntu botho..

Yani mjini palikuwa hapakaliki ni Ubuntu botho tu, wakasahau kushughulika mechi yao dhidi ya Al ahly, matokeo yake wakachapwa nje ndani naa kutolewa kwa aibu kubwa 3-0.

Hao Ubuntu botho waliokuwa wakiwashadadia nao kumbe ni matapeli watupu hawana mpira wowote ule, walisubilia paka goli la Aziz K likataliwe ndio wapite kwenda robo.

Sasa nashauri ilo neno liendelee kutumika paka pale ligi itakapoisha...
 

Attachments

  • GIil5MaWIAAaKtA.jpg
    GIil5MaWIAAaKtA.jpg
    70.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom