Real Madrid wanatarajiwa kumrejesha kocha wao wa zamani José Mourinho baada ya zaidi ya muongo mmoja. Inadaiwa kuwa “deal” hiyo imekamilika, huku ikielezwa kuwa Mourinho alikuwa na nia ya muda...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa notisi ya kisheria ya siku 60 kwa makampuni kadhaa ya michezo ya kubahatisha (betting), likitaka maelezo ya kwanini yaliorodhesha mchezo wa Ligi...
Ni mkondo wa pili wa Fainal ya CAF Champions League.
Mechi ya kwanza iliisha kwa Mamelodi kuibuka na ushindi 1-0.
Tuone leo hali itakuaje nani atabeba ndoo?
Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves.
Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza...
Goal la Chama kwa kweli linatutesa sana. Kocha na viongozi wamekuwa wakitusisitizia kuwa lazima tulipe. Jambo ambalo katika matches 4 sasa tunajjtahidi sana.
Jana Max Zingel kidogo alipe. Shida...
Kama umekua ukifatilia mechi za yanga sc msimu huu wa mashindano , nadhan utakua umeona kiwango cha mchezaji Clotus Chama . Kwangu mimi naona hadi sasa Chama hana mchango mkubwa kwenye pitch ...
Bruno Fernandes has officially been named the 2025/26 EA SPORTS Premier League Player of the Season after a sensational campaign with Manchester United. The Portuguese midfielder claimed the award...
Mfalme wa Morocco Mohammed VI ametoa msamaha wa kifalme kwa mashabiki 18 wa soka kutoka Senegal waliokuwa wamefungwa jela kwa kufanya fujo wakati wa fainali ya AFCON.
Msamaha huo umetolewa kwa...
Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa
Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira
Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez
Hakuwai...
Simba yawakanda Coastal kwao, mechi yaisha 2-1 na kuongoza Ligi Kuu, leo Mei 21, 2026
Mechi iliyopigwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga imewafanya Simba SC Kuibuka na Ushindi baada ya kusawazisha na...
Hey people,
Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu...
Timu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga magoli 3-0 dhidi ya Singida Big Stars
Magoli ya Yanga yalifungwa na Allan Okello (Star Boy) magoli mawili na Mudathir goli moja
Kwa ushindi huo Yanga...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali itaendelea kufunga taa katika barabara mbalimbali nchini ili kupunguza ajali za usiku na kuendana na kasi ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
NBA Ilianzishwa mnamo Juni 6, 1946, kama Chama cha Mpira wa Kikapu cha Amerika (BAA), ilipitisha jina la NBA mnamo 1949 baada ya kuunganishwa na Ligi pinzani ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL)...
Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa...
Adhabu ilipotolewa mkaja na Propaganda ya Kujenga Bondeni Mafurikoni kwenu ili muwazuge Mashabiki wenu Mbumbumbu na kweli wakawaamini japo naona Siku hizi wapo baadhi wanaanza kuwa na Akili...