Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mkuu wa mkoa wa Daressalam Mh Paul Makonda ameteuliwa kuwa mshauri mkuu bodi ya timu ya Simba
4 Reactions
89 Replies
11K Views
Uzi tayari.......... https://www.liverpoolecho.co.uk/sport/football/football-news/liverpool-sack-arne-slot-iraola-34037279
0 Reactions
4 Replies
207 Views
Hii ni kwa sababu nina chuki na serikali ya Tanzania iliyoingia madarakani kwa mauaji Timu zetu zikishinda sifa wanapewa wauaji walioingia madarakani kwa damu za maelfu ya Wananchi. Usijaribu...
13 Reactions
23 Replies
330 Views
Hizi ni fikra zangu tu binafsi, kuwashangilia na kuwatambua kwa ghafla, kuwazawadia, kuwatumia ndege, kuwajazia waheshimiwa tele, huenda vijana wetu wakaingia ubaridi hofu na woga, maana...
1 Reactions
19 Replies
321 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya...
0 Reactions
19 Replies
471 Views
HERE WE GO! Kwa mujibu wa Fabrizio Romano na Sky Sport Manchester United imefikia makubaliano ya Kumunua kiungo wa mpira kutoka Atalanta ya Italy kwa kiasi cha €45 sawa na £39 na nyongeza...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Mashindano ya Africa Cup of Nations (AFCON) kwa vijana wa umri chindi ya miaka 17, mwaka 2026 yameanza kutimua vumbi nchini Morocco kuanzia tarehe 13 May, 2026. Sisi Tanzania, vijana wetu wa...
3 Reactions
27 Replies
405 Views
Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu. 1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani. 3. Mashabiki wa...
11 Reactions
91 Replies
2K Views
Kwa wenzangu mnaofuatilia soka la kina mama hapa Tanzania na huko duniani je hao wachezaji wa kike nao wana watoto na huku bado wachezaji? Nafikilia ajira ya mpira wa miguu kwa wanawake na jinsi...
1 Reactions
8 Replies
227 Views
  • Redirect
Kila la heri SERENGETI BOYS 🇹🇿💪
0 Reactions
Replies
Views
Soka la sasa limetawaliwa na peni zaidi kuliko vipaji kwaiyo msimu huu tusitegemee namba 9 asili,tusitemegee kuona wapiga vichwa hodari,tusitegemee wawinga wengi wanaokimbia kushoto na kulia...
0 Reactions
2 Replies
123 Views
Wakuu Bila shaka unakumbuka vizuri kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu jijini Dodoma, ambao ulitangazwa kuwa ni miongoni mwa miradi ya kimkakati kwa ajili ya...
1 Reactions
13 Replies
631 Views
  • Redirect
Ni siku nyingine kubwa na ya kihistoria kwa soka la Afrika ambapo miamba miwili inakutana uwanjani. Serengeti Boys ya Tanzania inashuka dimbani kumenyana na mmoja wa majitu ya soka barani Afrika...
0 Reactions
Replies
Views
4-2-3-1 amnunue lewis hall LB, mateus fernandes CM, ederson CM, martim fernades RB, lewandowski ST Auze mazroui, ugarte, zirkzee, rashford, onana, bayandir, GK: Lammens RB: martim fernandes LB...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Watu wengi kwenye betting wanaogopa odds kubwa lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya special options zina odds ndogo kabisa kama 1.2–1.4 ila ndio zina mitego ya ajabu sana Zinaonekana rahisi...
1 Reactions
4 Replies
222 Views
Beki na nahodha wa zamani wa Manchester United na England, Rio Ferdinand ameweka wazi kuwa kwa sasa kazi zake zinamfanya alipwe kiwango kikubwa mara mbili ya kili alichokuwa akikipata alipokuwa...
3 Reactions
12 Replies
581 Views
Mfalme wa safu ya kiungo ya PSG. Ndiye pekee kati ya viungo watatu wa kwanza wa PSG aliyedumu dakika zote 120. Na katika muda wa nyongeza, alikuwa tishio kubwa zaidi la PSG katika mashambulizi...
3 Reactions
7 Replies
339 Views
Pia soma... ~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati ~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu...
5 Reactions
6 Replies
268 Views
Mjadala huu umekuwa mkubwa hasa kutokana na viwango walivyoonesha makipa wote. Je, kocha wa Uhispania aendelee kumuamini Unai Simón ambaye amekuwa chaguo la kwanza kwenye mechi zote za kufuzu...
3 Reactions
5 Replies
248 Views
Hata wenyewe mmeona, wanatumiwa nauli na kupewa posho nzito akina Drogba, lakini nyinyi mliotoa Jasho na damu kwa ajili ya Nchi yenu mnaendelea kupigwa vumbi Pole Lunyamila na wenzako, Tenda Wema...
3 Reactions
9 Replies
346 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…