Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mabingwa wa kutandaza kandanda safi barani Afrika, kandanda lilioenda shule, kandanda lenye viwango vya UEFA hapa nawazungumzia Young Africans leo wanashuka dimbani huko Lubumbashi nchini Kongo...
11 Reactions
372 Replies
25K Views
"Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Majina ya wachezaji wa zamani na sasa.Je walichezea timu gani na wako wapi kwa sasa? Moderator naomba uzi huu usiuhamishie kule kwenye michezo kwanza nimeona niuweke ukurasa huu unaosomwa na...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United Omar Berrada anasema kocha Erik ten Hag anaungwa mkono kikamilifu na klabu hiyo na ana amini kuwa ndiye kocha atakayewapa mafanikio ya muda mrefu...
2 Reactions
7 Replies
816 Views
Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
"Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kutufikisha wote hapa na kwa niaba ya Wanasimba wote naomba kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu kwa uongozi wake bora na mchango wake mkubwa wa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Bado mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama shida ni kocha, TEN HAG anaweza kuwa kuwa sehemu ndogo sana ya tatizo lililopo Old Trafford kwa sasa! David Moyes kapita hapo na alitoka Everton akiwa...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Za ndaaani kabisa, uwanja wa Kizimkazi utaweza kubeba mashabiki 20,000 walioketi pindi utakapokamilika. Maendeleo hayana chama
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili...
6 Reactions
4 Replies
858 Views
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna Mambo naendelea kujifunza nani alikuwa anamjua tajiri Adam Bairu alyewahi kuifadhili au kuisaport Yanga Africans. (FC)?
1 Reactions
8 Replies
907 Views
Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo...
15 Reactions
90 Replies
30K Views
Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) watembelea na kufanya ukaguzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 5, 2024. Viongozi hao wapo nchini kwa takriban siku mbili kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
541 Views
Hakuna mtu aliyetarajia Simba kujitafuta kiasi kile katika mechi dhidi ya Coastal Union wagosi wa kaya. Kwa tunaoona kwa jicho la tatu,tunaona uwekezaji wa yanga nje ya uwanja ni mkubwa mno kiasi...
3 Reactions
10 Replies
874 Views
Yani Ineos hawa wasipo mrusha kipara basi itakuwa ana picha zao za utupu
6 Reactions
10 Replies
932 Views
Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam wakuu Leo tulejee sakata tarehe 9/8/2022 la Simba kutumia Jeneza kwenye maadhimisho ya Simba day Nini maana ya Jeneza Kiroho maana yake ni kifo/ uangamizo/ umauti So kitendo cha uongozi...
3 Reactions
19 Replies
736 Views
Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala...
3 Reactions
11 Replies
701 Views
Tusithubutu tena kuwafananisha Diara na Camara tena Diara ni mlinda lango yaani goal keeper ni anajua muda Gani atoke na muda wa kuwa langoni Foot work yake Iko juu Ni vigimu kumwona Diara...
4 Reactions
10 Replies
935 Views
Back
Top Bottom