Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo. Namsikia Mzee...
1 Reactions
11 Replies
988 Views
Nasikiliza redio moja nashangaa sana wachambuzi wa kuheshimika hawajui madhara ya wanayoongea. Eti wachezaji wa kigeni wapungue. Wapungue waende wapi? Bila wa kigeni leo hii ligi yetu isingekuwa...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda...
23 Reactions
46 Replies
2K Views
Hivi taasisi muhimu na nyeti, inaachaje kutoa salamu za pongezi kwa kiongozi mkuu mstaafu? Tena mwanamichezo na mtu muhimu kwenye soka la Tanzania? Bado haitoshi, Rais wa shirikisho la vilabu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Unajuu au uliwahi kusikia nini kuhusu fundi Haruna Moshi Shaban “Boban” Tuambie
7 Reactions
32 Replies
2K Views
📊 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗔𝗞𝗢𝗢 𝗗𝗘𝗥𝗕𝗬 Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya kariakoo tangu 2010 . ⚽ 3 - Stephane Aziz Ki 🇧🇫 ⚽ 3 - Shiza Kichuya 🇹🇿 ⚽ 3 - Amissi Tambwe 🇧🇮 ⚽ 3 - Emmanuel Okwi 🇺🇬 ⚽ 3 -...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Joto la Dabi ya Kariakoo linazidi kupanda, huku mchezaji Jonas Mkude, anayejulikana kwa kucheza mechi nyingi za Dabi hiyo, amesisitiza ukubwa wa mchezo huo katika maisha yake ya soka. Mkude...
2 Reactions
4 Replies
818 Views
Mshambuliaji wa Wolfsburg Kevin Behrens amesimamishwa na klabu yake baada ya kukataa kusaini jezi yenye rangi ya upinde wa mvua. Pia alitumia maneno ya dharau kueleza kuwa hatasaini jezi hiyo.
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Hapo vip! Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?😀😀😀😀
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Taifa Stars ndiko waliko watanzania wetu kuliko vilabu ambavyo vimejaa wageni wengi. Taifa Stars ni moja kati ya tunu zetu za taifa, mnasubiri nini kuongelea na kuhamasisha watu kuijua na kuipenda...
1 Reactions
6 Replies
514 Views
Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo. Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT) 1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL. kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Tanzania nzima wapenda mpira huanza kuitaja simba kisha yanga na wala hawaanzi na yanga kisha simba huo ndio ukweli. Uzi tayari.
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Hapo vip! Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng.Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya [ECA], unaofanyika katika Mji wa Athen, Ugiriki. Hersi amepata Mwaliko...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Meneja wa zamani wa timu ya Uingereza ya Liverpool Jurgen Klopp ameteuliwa katika nafasi mpya kuwa mkuu wa shughuli za soka katika kampuni ya Red Bull, ambayo inamiliki klabu za RB Leipzig ya...
2 Reactions
3 Replies
586 Views
Tupo na jamaa zangu kijiweni, tukifanya mazungumzo kuhusu soka. Ghafla mmoja wetu akatokea na kusema, "Unajua, mama anaupiga mwingi sana, hasa kwenye suala la kununua goli moja kwa milioni tano!"...
0 Reactions
6 Replies
700 Views
Nimeamka zangu Asubuhi hapa,baada ya kupiga Ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama, Nashika simu nakuta Reminder ya kua Leo ni Derby ya Kariakoo Moja ya Derby kubwa sana Afrika...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli. Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup. Hii nchi...
21 Reactions
50 Replies
2K Views
I will be short a big team is a big team. Simba is a big team. Big team is seen in big stages. Simba cafcc group it's Simba vs mid arabs teams. Simba has bigger budget. bigger fan base...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom