Hispania imepata pete za kwanza kabisa za ubingwa wa Kombe la Dunia. 💍⚽️
FIFA ilianzisha pete hizi pamoja na kombe na medali kwa mashindano ya 2026. Hispania iliifunga Argentina bao 1-0 baada ya...
Hizi Ndizo "Facts" 12 za Ajabu Zinazowashangaza Wengi Kabla ya Fainali ya Kombe la Dunia 2026 zikionyesha kwamba argentina atakuwa bingwa mwaka huu
Facts hiz ni mfululizo wa coincidences...
GENTAMYCINE sijawahi kumpenda Mchezaji na asiwe Mahiri duniani. Nimefurahishwa sana leo na Swali aliloliuliza Mtangazaji mmoja wa Nbstv Uganda kuwa hivi kuna kitu ambacho Messi hajawahi kukifanya...
Tunaposema fainali hii ya Kombe la Dunia ilikuwa ya mashabiki wa Barça, mtuelewe
Mbali na Barça kutoa idadi kubwa ya wachezaji, kwa mara nyingine tena mchezaji aliyefunga bao la ushindi alikuwa...
Lamine Yamal si mtoto
Pekee wa familia yake anayevutia macho ya watu duniani kote. Ndugu yake wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu, Keyne, amekuwa mmoja wa nyota waliovutia zaidi katika Kombe la...
Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa
Sasa kesho...
NYOTA wawili wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lisandro Martinez na Cristian Romero, walionekana wakikwepa kupeana mikono na Rais wa Marekani, Donald Trump.
Ni wakati wa kukabidhiwa medali...
The World Cup is one of the biggest sporting events on Earth, but behind every match is a multi-billion-dollar business. ⚽💰
From global broadcasting rights and sponsorship deals to ticket sales...
Baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 12, 2026 wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC, timu hizo mbili zitaendelea na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2026/2027. Yanga SC...
Game lishamalizika kiroho. Kazi kwako mkamaria. Hawa Argentina hawana chao na kama Argentina watashinda hii WORLD CUP basi naomba kwa ridhaa yangu mwenyewe bila shinikizo kutoka kwa mtu yeyote na...
Usikubali timu yako wakahamia wale mashabiki wa Christopher ni kama wana laana
Waliipa hype Ufaransa ona sasa wametupwa nje ya mashindano, leo watahamishia laana England. Huko napo watakula...
Kama shabiki wa Man united wa miaka zaidi ya 20 ambaye nilishuhudi nyakati nzuri za mafanikio ya Man united chini ya Sir Alex Ferguson na CEO David Gill, nawasiwasi nyakati zile nzuri zinaweza...
Kumekuwa na ubishi sana kuhusu yupi kiungo bora kati ya Bellingham & Pedri na viungo wengine … takwimu za Jude 👇
• Magoli 6, pasi 1 ya mabao, mara 4 kuwa Mchezaji Bora wa Mechi (MOTM), mechi 6...
Kadri Kombe la Dunia 2026 linavyokaribia tamati, mjadala kuhusu mshindi wa Ballon d'Or umechukua kasi. Miongoni mwa majina yanayotajwa zaidi ni nahodha wa Argentina, Lionel Messi, ambaye akiwa na...