Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto.
Aliyefaidika ni Fei...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea...
Usiku wa pambano kati ya Juma Choki na Tony Rashid uligubikwa na malalamiko kila kona kulingana na aina ya maamuzi waliyotoa majaji.
Miongoni mwa mapambano ambayo maamuzi yake yalileta utata ni...
Tanzania inaelekea kuandika historia kwa kuwa mmoja wa wenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Hii ni fursa kubwa kwa taifa, si tu katika sekta ya michezo bali pia katika...
Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) limemtangaza rasmi Zinedine Zidane kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa, akichukua nafasi ya Didier Deschamps kwa mkataba utakaodumu hadi mwaka 2030...
Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. π
Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa"...
Sasa tutaheshimiana kudadadeki zenu. Huna ama Diploma au Degree au Masters au PhD ya Uandishi wa Habari na Utangazaji, huna Uzoefu mkubwa wa Masuala ya Soka na TFF hawakuthibitisha kwa Vigezo vyao...
Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kipengele kilichokuwa kikisambaa mitandaoni kuhusu udhibiti wa wachambuzi wa soka hakitakuwa sehemu ya kanuni za...
Prisca Kishamba ni mwanamke pekee anaegombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa timu ya Yanga. Kwa heshima ya Rais Samia, wanawake na timu ya wanawake ya Yanga tumchague huyu binti kuwa kwenye...
Ni ukweli usiopingika kwamba kwasasa Riadha imekua. Ukuaji huu kwa umetokana na mazingira rafiki yaliowekwa na serikali hususani kupitia taasisi mbalimbali zikiwemo majeshi kwa kuajiri wana riadha...
Bongo FM wana mtangazaji mpya,mwenye hilo jina hapo juu.Mimi simjui kabisa lakini ni mtangazaji mzuri sana,natamani kumfahamu zaidi.Mwenye kumfahamu ntafurahi akinipa historia yake.
Media nyingi Kwa maono yangu ya karibu na ya mbali zinajitenga na bwanah Mwakinyo sijui ila nahisi ni Kwa ajili ya mikataba au wadhamini wake na mashabiki pia wanajigawa
Siku za hivi karibuni...
Mshambuliaji hatari wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, alihitimisha msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini akiwa na mabao matatu katika mechi 13 alizoichezea klabu ya Mamelodi...
Mpango wa FIFA wa kuuza sehemu ya umiliki katika kampuni mpya ya kibiashara yenye thamani ya dola bilioni 20 umezua mjadala mkubwa kuhusu uendeshaji na uwajibikaji katika soka duniani.
Pendekezo...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, leo Julai 27, 2026, itashuka dimbani kuivaa Afrika Kusini katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (Women's AFCON...
Kiukwel naona kabisa mabos pale viunga vya Chamaz wamechafukwa sana sio kwa sajili hizi tunazoziona
Wana kocha MZURI mwenye uzoefu wa kutosha na soka la vilabu AFRIKA hii amefundisha timu kubwa...
Klabu ya Jamus baada ya kuwaduwaza Singida BS mechi iliyopita, leo anakutana na Mnyama Simba SC aliyetoka sare mechi iliyopita dhidi ya Mogadishu.
Je, nani kuondoka na alama tatu?...