Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu...
2 Reactions
3 Replies
713 Views
Klabu yenu imesajiliwa kucheza soka,hamuwezi kuendekeza fikra za kishamba na kizamani kuleta figisu kwa timu mnazoziogopa kwa visingizio eti walikuja na wazee! Kwa hiyo kama mliona wazee,kwenu...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Newcastle United wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza kubwa baada ya miaka 70 baada ya kuwalaza Liverpool bao 2-1 katika fainali ya Kombe la Carabao iliyochezwa leo, Machi 16, kwenye Uwanja wa...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo. Battle ya fedha sasa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
SIMBA NA YANGA, WATAPELEKA ZAWADI YA UBINGWA AFRIKA IKULU YA SAMIA. NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO. Jioni moja ya 2023 wakati kimvua kikipiga na kibaridi cha mbali, upepo murua pembezoni mwa...
2 Reactions
14 Replies
803 Views
Jina kamili: Newcastle united Jina la utani: The Magpies Kuanzishwa: 1892 Uwanja wa nyumbani: St. James Park (uwezo mashabiki 52,000) Wamiliki: Public investment fund 80% , RB Sports & Media 10%...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
NBC Premier League leo Ijumaa Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji. Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna...
2 Reactions
263 Replies
18K Views
Baada MR MVP Jean Charles Ahoua kufunga magoli 2 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji anakuwa amefikisha jumla ya magoli 12 katika Ligi na kuwa kinara wa ufungaji. Wanaomfuatia Jean...
10 Reactions
84 Replies
6K Views
Siku ya Jumatatu Mo alivyotua tu kutoka Dubai anakoishi sana Chama anamsumbua tu hadi Mo kukereka. Abaki Yanga SC.
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Sio kwa Ubaya. Braza ameondoka Mercedes kaenda Ferrari, mikwara mingi sana ila sijui hajaizoea F1-75. Yote 9, msimu wa 2025/26 ndio tumeuanza hivyo Australia leo na matokeo ndio kama haya...
2 Reactions
1 Replies
229 Views
Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Erling Haaland ni Mchezaji wa kwanza wa Premier League kuhusika katika Magoli 100 akiwa na chini ya Michezo 100 zaidi. Amefunga Magoli 84 na kutoa Asisti 16 katika Michezo 94 Manchester City...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
11 Reactions
95 Replies
4K Views
Wakuu, Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mara ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya Yanga SC December...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni vile hajitambui tu ila ni mchezaji pekeake kwa kizazi cha sasa mwenye kipaji cha kutumia miguu yote miwili kwa usawa katika kila kitu Shida kichwani ni nyeto tu anawaza
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Kwa club kubwa kama Simba Sports Club sikutegemea wao kufanya hiki walichofanya, wamechukulia ajali ya dodoma jiji kama Advantage ya kufunga goli nyingi, shida walizopata Dodoma jiji wameona ni...
2 Reactions
12 Replies
817 Views
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu. Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani. Shetani anaweka...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hofu yangu wasije wakawa baadhi ya Wachezaji wao ni Makomandoo pia kwani wana Pumzi na Wanakaba Kijeshi mno.
2 Reactions
5 Replies
593 Views
Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo. Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom