hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa.
Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa.
Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula...
Nitawashangaa Kama Mtakubali Kupeleka Timu kwa Tarehe Itakayopangwa. Mkumbuke Mna Sakata la Kumitmua Kocha Miguel Gamond Siku Chache Kabla ya Kuanza Kwa Mashindano ya Klabu Bingwa Hali...
Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo.
Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na...
Kupitia video yao ya leo vijana hawa wametoa wito kwa watanzania kususia mechi zote za timu ya taifa maana TFF inawachezea akili.
Akikazia zaidi, mchokonozi mmoja anayefahamika kama Joseph...
Nimefatilia vizuri mahojiano ya mwenyekiti wa Bodi ya ligi ndugu Steven Mguto na chombo cha habari cha mwananchi digital...kimenifanya nitafakari upya mtazamo wangu kuhusu hili sakata...
Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC.
Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa...
Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi...
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja
Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo...
Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa...
Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Lionel Messi kabla ya msimu wa 2026/27, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Argentina.
Messi alihudumu Barcelona kwa zaidi ya miongo...
Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu.
Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani.
Pia...
Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa"
Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka...
Mamlaka za michezo Tanzania, zifanye maamuzi haya, ili iwe fundisho kwa timu zozote katika kufanya ya kipuuzi ya aina hii, na kusababisha hasara kubwa kwa kilabu mwenyeji.
Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha.
Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi?
Simba walitangaza usiku wa...
Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia!
Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile...
Nyota wa Golden State Warriors Stephen Curry amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha pointi 4,000 za pointi 3 katika katika historia ya NBA na kuongeza wasifu wake wa mchezaji bora wa Kikapu kuwahi...
Sitaki swali lolote hapa ila kama una Macho mazuri yenye kuangalia vyema tafuta Clip ya Mechi ya Jana kisha tizama Wachezaji wote (hasa wa Timu iliyoshinda) na rejea hapa uniambie umegundua nini...
Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.