Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Kikosi kitaondoka nchini alfajiri ya tarehe 28 kuelekea Misri kwa kutumia ndege ya Egypt Air. Wachezaji wetu waliokuwa Taifa Stars wataungana na timu nchini Misri. Camara na Mukwala tayari...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mabingwa wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Argentina, leo alfajiri imefuzu mashindano ya kombe la dunia ya mwakani kwa kuibamiza Brazil mabao 4-1. Mashindano hayo ya mwakani yatapigwa kwenye nchi...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Sijui ingawa mimi ni upande ule mwingine kwa hili naweza kubali
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Mkongwe wa uholanzi Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE YAMAL NASRAOUI EBANA kuwa akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali Je Kuna uhusiano wowote kati ya mlegezo na kiwango cha mpira Mimi naona...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Here are the reasons 1: Substitution: mzito, very late and bad substitution of players? 2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know? Why 90mins...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Ni taarifa kwamba kutoka kwa mdau mmoja wa soka ambaye pia Mwanachama wa klab ya Yangasc kutokea mkoani Iringa ambaye ameitaka bodi ya ligi kuu ( TPLB) ndani ya siku 7 kuanzia leo kutekeleza mambo...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Mbuzi wenyewe sasa! Inaonekana kikosi cha Simba kilikuwa na goat wa kutosha hadi makomandoo wakaamua kuingilia kati. Watu wa yanga watakaoelewa maana ya mbuzi ( goat) ni wawili tu wengine wote...
5 Reactions
5 Replies
613 Views
Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Mabingwa wa soka nchini Tanzania, Young Africans wanashika nafasi ya 165 kwa ubora kati ya timu 500 ulimwenguni. Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Shirikisho la Kimataifa la...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwamba wa masumbwi George Foreman aliyekuwa akiwadumbua wapianzani wake raundi za mwanzo tu na ambaye alitolewa kamasi na Muhammad Ali mwaka 1974 kwenye pambano la Rumble in the Jungle kule...
7 Reactions
90 Replies
5K Views
Wanabodi heshima mbele. Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi na wana Yanga SC wote Tanzania NAWAONYENI kuwa kuweni makini mno na Haji Manara sawa?
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Hatimaye Ahmed ally akubali kuwa walijaza mbuzi na wazee kwenye basi kuelekea mazoezini siku Moja kabla ya derby “Tulijaza mbuzi na wazee wafupi kwenye basi, watu wakaingia mchecheto wakasema...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Muda wowote kuanzia sasa Watanzania mtatangaziwa hii Taarifa ambayo GENTAMYCINE nimeitoa Jikoni kabisa. Wameamua kuliko) kuwapa Yanga SC Alama (Points) Tatu (3) kama Wanazoziota wameona kuweka...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
(1)SIMBA INAKWENDA MISRI (2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO Yanga anaenda Singida.
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimependa jinsi TV za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika. Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Niseme tu Meza mliyotikisa Round hii Nyie Bodi ya Ligi ilikua na vinywaji vya gharama.
10 Reactions
87 Replies
4K Views
Tunachotakiwa kujua na kukubali bila kuwa na shaka, ni kwamba mchezo kati ya Simba na Yanga ni moja kati ya Dabi kubwa Afrika. Hivyo, kufanya jambo lolote kinyume na taratibu kuelekea mchezo ni...
3 Reactions
19 Replies
839 Views
Back
Top Bottom